Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anakopa pesa kwa mtu baki?

Sasa kama mtu aliyemzidi miaka mitatu anamuita mother si amegoma kuwa rika moja naye? 🤣🤣🤣

Anagoma kumuita sister anasema mother huko ni kugoma kuzeeka pamoja na wa rika lake.
Ama kuamkia 'shikamoo' makamo mamoja ama kwa mdogo kwake kiumri!
Lakini bhana nikiwa na mamlaka flani kwenye ofisi flani, nilishangaa kuanza kupigwa shikamoo kavu kavu na watu wanaonizidi umri!
Nikaona sasa haiwezekani ni uchuro huu, nikamdaka mzee mmoja alikuja ofisini baada ya kuniamkia hiyo 'shikamoo' yake😄😄😁
Mzee mjanja mjanja hivi, nikamuuliza kwanini anamiamkia badala asubiri mimi nimuamkie?
Mzee yule hakuuma uma maneno, bali alinichana live:... 'bwana mdogo, hapa sikuamkii wewe, naiamkia ofisi, salamu hii ni mahsusi kwa ajili ya kuheshimu ofisi, sawa na askari anvyopiga saluti akiingia viunga vya mahakama akiona picha ya Rais'...
'Hii shikamoo yangu hauwezi kuipata nje ya ofisi na wadhifa wako'...
'Fukuzwa ama acha kazi uone kama mtu atajinyenyekeza kwako'...
Sikujibu lolote nikabakia tu ghaa natafakari.
 
Ficha siri za watu kijana, mpaka anakuja kukopa kwako ni kwasababu kakuamini kua huwezi kumdhalilisha wala kumdhania vibaya na kumtangazia mbele za watu.

Hutaki kumkopesha mchane kua hutaki, umepata gagaziko muulize mwenyewe huyo mumewe namna gani vipi hadi aje kwako.
Soma ujumbe nilioandika ,nafasi ya mume iko wapi kama mkewe anapata tabu?
 
Ama kuamkia 'shikamoo' makamo mamoja ama kwa mdogo kwake kiumri!
Lakini bhana nikiwa na mamlaka flani kwenye ofisi flani, nilishangaa kuanza kupigwa shikamoo kavu kavu na watu wanaonizidi umri!
Nikaona sasa haiwezekani ni uchuro huu, nikamdaka mzee mmoja alikuja ofisini baada ya kuniamkia hiyo 'shikamoo' yake😄😄😁
Mzee mjanja mjanja hivi, nikamuuliza kwanini anamiamkia badala asubiri mimi nimuamkie?
Mzee yule hakuuma uma maneno, bali alinichana live:... 'bwana mdogo, hapa sikuamkii wewe, naiamkia ofisi, salamu hii ni mahsusi kwa ajili ya kuheshimu ofisi, sawa na askari anvyopiga saluti akiingia viunga vya mahakama akiona picha ya Rais'...
'Hii shikamoo yangu hauwezi kuipata nje ya ofisi na wadhifa wako'...
'Fukuzwa ama acha kazi uone kama mtu atajinyenyekeza kwako'...
Sikujibu lolote nikabakia ghaa natafakari.
Hao wanaamkia cheo mkuu

Ingawa sometimes huwa inaleta ukakasi. Kuna ofisi niliwahi fanya kazi nikiwa kwenye 20s ilinisumbua kuitwa boss na wengine wakija na shikamoo. Lakini mwisho wa siku ndio maisha hatuwezi kuitika marahaba kwa waliotuzidi
 
Habari wakuu ,

Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?

Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Halafu huwa hawalipi mwisho wa siku waume zao wakisafiri wanatoa shukurani
 
Je na mwanamme anayekopa mtu asiye mke wake pia ni sawa .Mimi kuna mfanyakazi mwenzangu ,tulikuwa tuna share office akanikopa wakati huo 1m plus hivi hakaniambia nikipata mshahara tu nakurudishia.I waited forever .Akapata kazi nyingine nzuri sana ,sikuonana naye for more than 10yrs nikakutana naye ghafla ananunua vitu supermarket moja nikamsalimia sikumwuliza chochote kwa kuna najua ni mtu mzito tu mahali ila namba ya simu alibadilisha .Haikupita wiki mbili baada ya kukutana nikapata taarifa amefariki ,so sad.Anyway ,nilishamsamehe ndio maana sikutaka hata kumwuliza.My take ni kuwa kuna dhambi ndogo ndogo zinakufarakanisha na Mungu(kwa mnaoamini) au kutokukupa baraka za maisha including afya njema.Tujitahidi kukopa na kurudisha ili baraka zikujie. Methal 22:7 na Zaburi 37;21.Week end njema
 
Mwanaume ni sawa labda afanye utapeli, ninavyojua mimi ni kwamba mke akishindwa kupata uhitaji wa kila ni lazima amuambie mumewe ,mume akishindwa basi mume anaweza kukopa kwa ajili ya mkewe .

Si busara mume kumuacha mke anapata tabu hata siku moja.
 
Habari wakuu ,

Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?

Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Unajifanya huwajui wanaume wewe!
 
Kukopa kopa ni tabia ya mtu,
Sio wanawake tu, hata sisi wanaume.
Baada kukopa, ndo anakuja jf mumpe idea
 
Mwanawake ni kiumbe wa ajabu sana hudumia uwezavyo litakopa kucheza michezo ya upatu,kushona sare za vikundi, birthday za watoto, michango ya sherehe za kijingajinga tu. Ili mradi limekopa matumizi yasiyo ya msingi mambo ya hovyohovyo tu mwanamke ndo tabia zao.
Ukiacha matumizi linabana kucheza mchezo mwisho wa kuvunja mchezo linadaiwa tena hisa inabidi vyombo na mali za ndani zitaifishwe yani ni shida sana kuishi na hawa viumbe.
 
Back
Top Bottom