Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anakopa pesa kwa mtu baki?

Habari wakuu ,

Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?

Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Maadamu anafanya kazi atakopa sababu kukopa ni kitu kidogo kuliko kazi, kwa nini unaona kukopa ni jambo kubwa wakati umemruhusu ashinde na kina John kutwa nzima akiwa kazini kwa nini asikope?
 
Nafasi ya mume bora kukopa halafu jamaa anamlipia.
 
Ubora uko wapi na ilhal umemruhusu afanye kazi na kuchanganyika na wanaume kutwa nzima? Uko Sahihi Mume wake amkopee lakini ukimtoa mke akafanye kazi atakopa sababu kukopa ni jambo dogo kuliko kazi pia uelewe mke akifanya kazi Kuna vingi atafanga bila wewe kujua sababu anafanya anachokijua mwenyewe bila kukushirikisha, sababu huyo ni Mwanaume mwenzako ila yeye ana kipochi wewe una mtalimbo hiyo ndo tofauti na wewe.
 
Kweli
 
Back
Top Bottom