Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
Ngoja kidogo niokoteze đź’”Naomba buku 5 mama
Ngoja kidogo niokoteze đź’”Naomba buku 5 mama
we umeoa kwanza?Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Acha zako,Hukosi Kitita hikoNgoja kidogo niokoteze đź’”
Ni kweli. Wanaume wenyewe asilimia kubwa wana vipato vidogo halafu hapohapo wanataka wake zao wasifanye kazi. Lazima watakua ombaomba.Hilo ndiyo jibu
Ngoja zitoke mpya BOT on processAcha zako,Hukosi Kitita hiko
Umeongea nn sasa.... Yaani kuna million 1 katika familia imetumika laki 5 mwanaume,uNataka laki 5 nyingine ya mwanamke isitumike ikae tuUnajua wanaume baadhi hujitoa ufahamu wakutunza mke, akinunua mchele, samaki, nyama, kuna mkaa au gase yakupikia anaona inatosha hajui kama kuna mahitaji mengine na mke akiwa na kazi yake ndiyo basi tena, hapo mke akiomba pesa ataambiwa pesa yako umefanyia nini au yanaanza masimango, kwahiyo mke anaamua kujihangaikia mwenyewe, sasa hata pesa yakumtibia mtoto anakopa,
ndoa wakati mwingine kama ujinga na upumbafu flani higi
Hona lolote unataka kuhalalisha 3some tuuOoh una wake wangapi? Hauhitaji kuongeza mke?
Hakuna aliyeomba kuzaliwa kwenye familia maskini ndio bahat Ilikuwa kuzaliwa hapo kusaidia mtu sio tu kumpa mtu fedha ni kuwa na moyo safi na upendo.Mzazi wako akiumwa na ikakosekana hela ya kumtibu maana yake wewe masikini, kaka zako, dada zako, wajomba, mashangazi n.k wote masikini. Iweje lawama zibebwe na mume wakati ndugu wa karibu wote masikini
BadoUmeolewa?
Unayozungumza Una ushahidi upi?maana yakuambiwa changanya na zakoBado
Hata mimi nimejiuliza hivo..!Yaani unamkaza mtu kisa 15k ?
Alikuwa anataka muhogo wa jang'ombeHuyo anayemkopesha mke ni jinsia gani,kama ni KE kwa Ke sawa.
Ila kama mwanamke anaenda kuazima vijisent Kwa mwanaume ni dhahiri wanaweza kulipana kivingine.
Mimi mwenyewe niliwahi kumkopesha Ke ambaye si mke wa mtu ila ni mtu mzima yaani naweza sema hata miaka 10 kanipita, akaahidi na tarehe atayorejesha, chaajabu katika asilimia 100 ya pesa niliyomkopesha alinirudishia asilimia 20 akadai hana pesa.
Nilipo muuliza nyingine atanipa lini akasema hana namna yeyote na pesa hana,ila Mimi niseme namsaidiaje.
Yaani mtu unamdai halafu uanze plan za unamsaidiaje
Noma, vitu vingine unapotezea! Mwanamke ukimpa 15 K unavunga tu,Hata mimi nimejiuliza hivo..!
Watu hawajithamini/hawajielewi!!
Kalipa 15,000 kapewa ****!"
Kwa mtu anaejielewa, 15,000 haiwezi sababisha umtommbe mke wa mtu!
Malaya wa kiume anamsema malaya mwenzie wq kike!"
Kijana life kuna muda linakuletea vitu fulani vipya kabisa tofauti na jinsi unavofikiri.Hapana
kuna watu na viatuHabari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?