Inategemeana mna uhusiano gani na huyo mwanamke maana sio rahisi from no where aje kwako kuomba msaada kifedha.Soma ujumbe nilioandika ,nafasi ya mume iko wapi kama mkewe anapata tabu?
Na hapo unahitimisha tu kua mumewe kuna kitu hakipo sawa.
Japo pia ni risk kumsaidia mke wa mtu kifedha na kwa siri bila mume kujua.