Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
- Thread starter
- #61
Mwanamke si sawa kwa vile ana mumewe ,Mume anaweza kukopa kwa matatizo ya mkewe hii ndiyo nafasi ya mwanaume.Kukopa kopa ni tabia ya mtu,
Sio wanawake tu, hata sisi wanaume.
Baada kukopa, anakuja jf mumpe idea
Mkeo anaumwa unaacha kutafuta chochote ili apone ,unamuacha akope mwenyewe si sawa kabisa.