Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Wameambukizwa na yule mama ambaye anakopakopa utatafikri mume wake ndiye ataxia.
Hakuna namna km analika unamla mtu tu kadri unavyoweza , muhimu awe anajielewa upstairsHuyo anayemkopesha mke ni jinsia gani,kama ni KE kwa Ke sawa.
Ila kama mwanamke anaenda kuazima vijisent Kwa mwanaume ni dhahiri wanaweza kulipana kivingine.
Mimi mwenyewe niliwahi kumkopesha Ke ambaye si mke wa mtu ila ni mtu mzima yaani naweza sema hata miaka 10 kanipita, akaahidi na tarehe atayorejesha, chaajabu katika asilimia 100 ya pesa niliyomkopesha alinirudishia asilimia 20 akadai hana pesa.
Nilipo muuliza nyingine atanipa lini akasema hana namna yeyote na pesa hana,ila Mimi niseme namsaidiaje.
Yaani mtu unamdai halafu uanze plan za unamsaidiaje
Sawa mhishiniwa CPA Tz.Ikitokea tarehe imepangwa mtafanyaje. Tuweke dau?
Kuna mwingine aliua mke , hajaacha kitu lakini kakuta nyama ya mbuzi imepikwa ugomvi ukaanza umetoa wapi! Mboga ikamwagwa akatoa mia 2 zinunuliwe dagaa mke kanunua kapika kama zilivyo ugomvi ukaanza tena hizi mboga sili kataka kumpigia mke akakimbia anarudi baadaye ulikuwa wapi kachukua panga basiIla tuseme ukweli Kuna waume wengine Ata kuhudumia atak lkn anataka akirudi akute chakula kizuri asipo pewa unyumba analia ila ndoa 💔
Nakazia.Huo ni umalaya
Daah!Kuna mwingine aliua mke , hajaacha kitu lakini kakuta nyama ya mbuzi imepikwa ugomvi ukaanza umetoa wapi! Mboga ikamwagwa akatoa mia 2 zinunuliwe dagaa mke kanunua kapika kama zilivyo ugomvi ukaanza tena hizi mboga sili kataka kumpigia mke akakimbia anarudi baadaye ulikuwa wapi kachukua panga basi
Duh 💔Kuna mwingine aliua mke , hajaacha kitu lakini kakuta nyama ya mbuzi imepikwa ugomvi ukaanza umetoa wapi! Mboga ikamwagwa akatoa mia 2 zinunuliwe dagaa mke kanunua kapika kama zilivyo ugomvi ukaanza tena hizi mboga sili kataka kumpigia mke akakimbia anarudi baadaye ulikuwa wapi kachukua panga basi
4Una watoto wangapi
Huko kupanda daladala inayobakia ananunua kitu kingine ambacho mme akiombwa pesa anamwambia Sina au baadaye mwaka unaisha , lipstick tu yakawaida inauzwa elf 5 sasa mwingine anaelewa hapo, wakati kakulia Kwa mama yake hizo mambo hajawahi ona! Utasikia si ukasuke twende kilioni tu au Kilimanjaro za mkono shida nini wewe si umeshaolewa?Inawezekana amepewa hela ila akaibana ama ameitumia.
Kuna mmoja alipewa elfu 6 apande bajaji, ila mwanaume alipoondoka, akashuka kwenye bajaji akapanda daladala.
Wanawake wana tabia ya kubana pesa kwa matumizi mengine
Sahizi ananyea debe hukoDuh 💔
Hii ni ya kweli mkuu?Sahizi ananyea debe huko
Na wote mama tofauti
Hizi si tamaduni zetu sisi watu wa Tanga ,mume atahusika kwa kila kitu hata awe na mshahara mdogo ...Hauwezi kuwa na akili timamu ukamuacha mkeo akakope ,anaweza kuwa na shida binafsi ila mume unatakiwa kukopa kwa ajili.Punguza masimango, ukiona mtu hadi anakopa ujue hana, sasa account ina pesa pochi ina pesa atakuja kukukopa kweli??? Unayo mkopeshe, huwezi mpe
MaskiniSahizi ananyea debe huko
Kama hampi ,nafasi ya mume iko wapi hapo..Mke kuishi na mume asiyekuwa na msaada kwake ni kupoteza muda .Nyumba za watu zina siri, possible huyo mme hampi either anamnyima au hana
Naam, ila 2 ni wa mama mmoja nae ni KATAA NDOA kama mimi hivyo baada ya kuelewa falsafa zangu yeye akaamua anipe 2 ili aendelee kuruka anavyotakaNa wote mama tofauti
Hapo ndiyo imekosekana nafasi ya mwanaume ,ni aibu kwamba mkeo anakopa huko nje ,mume umekalisha chendego hauna habari.Porojo nyingi sana lakini jibu ni moja tu. Waume zao wanashindwa kuwahudumia ipasavyo.