Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Ikitokea tarehe imepangwa mtafanyaje. Tuweke dau?Hata kwa dawa. Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Ikitokea tarehe imepangwa mtafanyaje. Tuweke dau?Hata kwa dawa. Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Jana mkuu si uliaga hapaHuu uzi ufichwe kataa ndoa wasije wakauona
🙂
Na wewe kataa ndoaTumeshauona mkuu tunazidi kukusanya point mpaka tubebe kombe Nomadix
haha nilikuwa namsindikiza mshangazi.Jana mkuu si uliaga hapa
Naam Mimi ni PRO MAX kabisa ndio maana huwa natamani nijue kupika ili niwe nakula vitamuNa wewe kataa ndoa
Punguza masimango, ukiona mtu hadi anakopa ujue hana, sasa account ina pesa pochi ina pesa atakuja kukukopa kweli??? Unayo mkopeshe, huwezi mpeUnajua kuna siku mke wa mtu amenikopa 20k ili kumtibia mwanawe anayeumwa , nimeshangaa sana ana mume na wako pamoja tena wamefunga ndoa miaka 2 nyuma.
Nyumba za watu zina siri, possible huyo mme hampi either anamnyima au hanaMuda mwingine analipa , ishu ni kwamba akiumwa anakopa na unajua anaumwa , sasa mumewe anafanya kazi ipi ili kumsaidia mkewe ? Nina mushkeri nafasi ya mumewe .
Mtoto akiumwa anakopa pesa ili ampeleke hospital.
Vijana oeni mtaishi ivyo mpk liniNaam Mimi ni PRO MAX kabisa ndio maana huwa natamani nijue kupika ili niwe nakula vitamu
Kumbehaha nilikuwa namsindikiza mshangazi.
Mpaka mwisho, halafu Mimi sio kijana ujue ni baba wa makamo nimeshavuka ujanaVijana oeni mtaishi ivyo mpk lini
Duh na utaki kuoa? Acha basMpaka mwisho, halafu Mimi sio kijana ujue ni baba wa makamo nimeshavuka ujana
Ili nigundue nini? Ndo imeisha hiyoDuh na utaki kuoa? Acha bas
Ukiumwa atakuuguza nan? Ila unawatoto?Ili nigundue nini? Ndo imeisha hiyo
Sio wanawake wote. Sijawahi kopa hela ya mtu nikaacha kurudisha. Na hakuna kitu nakiogopa kama deni. Uchi wangu sio kwa ajili ya biashara.Ni nature mkuu wanawake wote kiasili wanaamini kwenye uchi wao , mwanamke ukimfanyia hisani au msaada wowote,kitu cha kwanza kinachomjia kichwani ni kukulipa uchi,
Mwanamke uchi anauamini ila hauthamini.
Unajua wanaume baadhi hujitoa ufahamu wakutunza mke, akinunua mchele, samaki, nyama, kuna mkaa au gase yakupikia anaona inatosha hajui kama kuna mahitaji mengine na mke akiwa na kazi yake ndiyo basi tena, hapo mke akiomba pesa ataambiwa pesa yako umefanyia nini au yanaanza masimango, kwahiyo mke anaamua kujihangaikia mwenyewe, sasa hata pesa yakumtibia mtoto anakopa,Unajua kuna siku mke wa mtu amenikopa 20k ili kumtibia mwanawe anayeumwa , nimeshangaa sana ana mume na wako pamoja tena wamefunga ndoa miaka 2 nyuma.
Watoto ninao na ninaishi nao mwenyewe. Siwazi hayo mambo ya kuumwa na kuuguzwa na ikitokea basi atakaekuwepo karibu yangu ndo ataniuguzaUkiumwa atakuuguza nan? Ila unawatoto?
Una watoto wangapiWatoto ninao na ninaishi nao mwenyewe. Siwazi hayo mambo ya kuumwa na kuuguzwa na ikitokea basi atakaekuwepo karibu yangu ndo ataniuguza