Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anakopa pesa kwa mtu baki?

Hapo ndiyo imekosekana nafasi ya mwanaume ,ni aibu kwamba mkeo anakopa huko nje ,mume umekalisha chendego hauna habari.

Huku kwetu Tanga hata mke akienda kuchukua vitu dukani basi anayekuja kulipa ni mume ,hapo inatokea kama mume yuko mbali labda wale wanawake wa vikoba.
Ni kweli mkuu. Waume wajitafakari wapi wanakosea.
Wapo ambao hukopa kwa mambo yao ya anasa kupitiliza lakini sio wengi kiasi hicho.
Wengi hawahudumiwi ipasavyo na hata pesa ya chakula wanatoa kwa kusuasua.
 
Mkuu inawezekana anakopa bila mume kujua
 
Akope mume kumlinda mkewe, si ruhusu kumuacha mkeo akiwa omba omba.
Hapo mpaka uwe unajielewa, mfano mke anamwambia mmewe gas imeisha jibu lake kwani huwezi pikia mkaa kwani kwenu kulikuwa na gas? Unategemea kesho mke atamwambia vipi kama si kuanza kujitunzia akiba, huo ndiyo Mwanzo wa mambo mengine 😅
 
Ni kweli mkuu. Waume wajitafakari wapi wanakosea.
Wapo ambao hukopa kwa mambo yao ya anasa kupitiliza lakini sio wengi kiasi hicho.
Wengi hawahudumiwi ipasavyo na hata pesa ya chakula wanatoa kwa kusuasua.
Ninavyojua mimi na uzoefu wangu si rahisi mwanamke anayefanya kazi kukopa hovyo hata kama analipwa 200k ; anakuwa na support kubwa kutoka kwa mume , pesa ndogo ndogo si rahisi kumpiga chenga.
 
Ni kweli mkuu. Waume wajitafakari wapi wanakosea.
Wapo ambao hukopa kwa mambo yao ya anasa kupitiliza lakini sio wengi kiasi hicho.
Wengi hawahudumiwi ipasavyo na hata pesa ya chakula wanatoa kwa kusuasua.
Kungwi Demi je buku kumi inakutosha kwa siku?
 
Hapo mpaka uwe unajielewa, mfano mke anamwambia mmewe gas imeisha jibu lake kwani huwezi pikia mkaa kwani kwenu kulikuwa na gas? Unategemea kesho mke atamwambia vipi kama si kuanza kujitunzia akiba, huo ndiyo Mwanzo wa mambo mengine 😅
Nafasi na mume iko wapi hapo?
 
Naam, ila 2 ni wa mama mmoja nae ni KATAA NDOA kama mimi hivyo baada ya kuelewa falsafa zangu yeye akaamua anipe 2 ili aendelee kuruka anavyotaka
Mnazeeka vibaya fungeni ndoa
Mkae wote cha asubuhi kitamu kinachamsha akili
 
Siku hizi hali ya mambo ndoani imebadilika, hela haitoshi mahitaji ni mengi. Wanawake wa sasa wana mahitaji mengi rasmi na yasiyo rasmi. Hata umuachie mshahara mzima hautatosha mahitaji yake, akitongozwa tu na mhuni fulani mzigo atatoa hata kwa buku tano aongezee kwenye mambo yake ya kandokando. Ndio maana wengi huachwa kwa kutokuridhika na hali ya kipato
 
Habari wakuu ,

Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?

Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Sio kwamba wanapenda wake zao wapate tabu, hizi kenge zinakopaga zenyewe kwa siri bila kumtaarifu mume ila yakishabuma ndio wanakuja kujiliza kwa mume
 
Ni tabia ya huyo mwanamke
 
Unajua kuna siku mke wa mtu amenikopa 20k ili kumtibia mwanawe anayeumwa , nimeshangaa sana ana mume na wako pamoja tena wamefunga ndoa miaka 2 nyuma.
Kuna wakati anajua mumewe hana hela...na ni dharura ya uhitaji wa tiba kwa mtoto, kukopa kwa fellow staff sio issue. Mi naona tatizo lipo kwako unawaza kuhusu mke wa mtu kukukopa!
 
Sio kwamba wanapenda wake zao wapate tabu, hizi kenge zinakopaga zenyewe kwa siri bila kumtaarifu mume ila yakishabuma ndio wanakuja kujiliza kwa mume
Sema kukopa bila ya mume kujua ni tatizo ,niliona stori mke kasababisha nyuma yao kutaka kuuzwa...Mkishakuwa wanandoa basi mambo muhimu muwe kitu kimoja.
 
Back
Top Bottom