Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anakopa pesa kwa mtu baki?

Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anakopa pesa kwa mtu baki?

Kuna wakati anajua mumewe hana hela...na ni dharura ya uhitaji wa tiba kwa mtoto, kukopa kwa fellow staff sio issue. Mi naona tatizo lipo kwako unawaza kuhusu mke wa mtu kukukopa!
Naona mumewe hajui nafasi yake , mke anaweza kukopa kwa kununua nguo zake ila sio kwa majukumu ya nyumbani ...
 
Naona mumewe hajui nafasi yake , mke anaweza kukopa kwa kununua nguo zake ila sio kwa majukumu ya nyumbani ...
Hiyo ndo nadharia...lakini kwenye maisha halisi kuna mke ana kipato, pengine kuliko hata mume, na anasaidia baadhi ya majukumu ya familia...

Na hiyo nadharia ndo inaongeza sana Stress kwa wanaume!
 
Sema kukopa bila ya mume kujua ni tatizo ,niliona stori mke kasababisha nyuma yao kutaka kuuzwa...Mkishakuwa wanandoa basi mambo muhimu muwe kitu kimoja.
You would think so but this bloody kenges dont think like that...infwact they are thinking and wishing we die first....so wee ilikuwa safe side mzeya kataa ndoa
 
Kama hampi ,nafasi ya mume iko wapi hapo..Mke kuishi na mume asiyekuwa na msaada kwake ni kupoteza muda .

Sheria ya Tz inatambua mke anaweza kukopa kwa niaba ya mume , ina maana hata akikopa mume atahusika kulipa deni.
We wasema......

itoshe tu kukuambia kama unamsaidia msaidie na usimsimange mengine mwachie mwenyewe.
 
Hizi si tamaduni zetu sisi watu wa Tanga ,mume atahusika kwa kila kitu hata awe na mshahara mdogo ...Hauwezi kuwa na akili timamu ukamuacha mkeo akakope ,anaweza kuwa na shida binafsi ila mume unatakiwa kukopa kwa ajili.

Huku kwetu ,mke akiwa anaweza kuchukua vitu dukani ila analipa mume so nimeshangaa sana.
Ooh una wake wangapi? Hauhitaji kuongeza mke?
 
Habari wakuu ,

Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?

Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Wanawake wamekua na shida nyingi kuliko hata sisi wanaume. Harakati za 50/50 na ufeminia zimewapandisha mzuka sasa wakizi-apply kwenye maisha halisi kuna sehemu wanakwama, kwaiyo ku-maintain ile status quo ya kuonekana mwanamke wa shoga ndio wanaishia kwenye madeni ya kausha damu na michezo yao ya elfu 3 kila siku ambayo mumewe anakua hajui lolote
 
Ndoa zinasiri nying kunawanaume hawahudumii wakezao Zaid ya chakula
Kuhusu mavazi,wazazi wa mke hata wakiumwa hamna kitu anafanya
Mzazi wako akiumwa na ikakosekana hela ya kumtibu maana yake wewe masikini, kaka zako, dada zako, wajomba, mashangazi n.k wote masikini. Iweje lawama zibebwe na mume wakati ndugu wa karibu wote masikini
 
Kuna mwingine aliua mke , hajaacha kitu lakini kakuta nyama ya mbuzi imepikwa ugomvi ukaanza umetoa wapi! Mboga ikamwagwa akatoa mia 2 zinunuliwe dagaa mke kanunua kapika kama zilivyo ugomvi ukaanza tena hizi mboga sili kataka kumpigia mke akakimbia anarudi baadaye ulikuwa wapi kachukua panga basi
Mambo ya kuolewa na vichaa
 
Back
Top Bottom