Anakopa kwa wanaume wengine ...Hii haijakaa sawa, tena anaweza kukopa 10kHuyo anayemkopesha mke ni jinsia gani,kama ni KE kwa Ke sawa.
Ila kama mwanamke anaenda kuazima vijisent Kwa mwanaume ni dhahiri wanaweza kulipana kivingine.
Mimi mwenyewe niliwahi kumkopesha Ke ambaye si mke wa mtu ila ni mtu mzima yaani naweza sema hata miaka 10 kanipita, akaahidi na tarehe atayorejesha, chaajabu katika asilimia 100 ya pesa niliyomkopesha alinirudishia asilimia 20 akadai hana pesa.
Nilipo muuliza nyingine atanipa lini akasema hana namna yeyote na pesa hana,ila Mimi niseme namsaidiaje.
Yaani mtu unamdai halafu uanze plan za unamsaidiaje
Sasa 10k imsaidie nini kama siyo kutafuta kukazwaAnakopa kwa wanaume wengine ...Hii haijakaa sawa, tena anaweza kukopa 10k
Huyo ni Malaya mkuuUnajua kuna siku mke wa mtu amenikopa 20k ili kumtibia mwanawe anayeumwa , nimeshangaa sana ana mume na wako pamoja tena wamefunga ndoa miaka 2 nyuma.
Ikiwa wewe unajua.Mie mke wangu hajawahi kukopa
Hahahahaaaaaa,umenikumbusha nilimkopesha mother mmjo japo ananizudi miaka 3 TSH 15000/= ilipofika mda wa kurudisha chenga nyingi mara ntakuletea leo geto usiku alipofika tu ilikuwa saa nne usiku match kali sana ilipigwa ikawa kila siku napiga mzigo hadi mimi nilimchoka japo alikasirika dana kumtemaHuyo anayemkopesha mke ni jinsia gani,kama ni KE kwa Ke sawa.
Ila kama mwanamke anaenda kuazima vijisent Kwa mwanaume ni dhahiri wanaweza kulipana kivingine.
Mimi mwenyewe niliwahi kumkopesha Ke ambaye si mke wa mtu ila ni mtu mzima yaani naweza sema hata miaka 10 kanipita, akaahidi na tarehe atayorejesha, chaajabu katika asilimia 100 ya pesa niliyomkopesha alinirudishia asilimia 20 akadai hana pesa.
Nilipo muuliza nyingine atanipa lini akasema hana namna yeyote na pesa hana,ila Mimi niseme namsaidiaje.
Yaani mtu unamdai halafu uanze plan za unamsaidiaje
Ukiona hivyo huo ni muuzaji, anaforce kukuuzia.Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Muda mwingine analipa , ishu ni kwamba akiumwa anakopa na unajua anaumwa , sasa mumewe anafanya kazi ipi ili kumsaidia mkewe ? Nina mushkeri nafasi ya mumewe .Ukiona hivyo huo ni muuzaji, anaforce kukuuzia.
Atajifanya hana ya kukulipa na kukuuliza tunafanyaje sasa, kifuatacho ni kutafunwa.
Sina mke hata dada yangu aliyeolewa hawezi kukopa zaidi ya kwangu , mara zote nampa tu ...Yye na mumewe ni wafanyabiashara ila zinabuma muda mwingine kabisa .Kwanini usimuulize mke wako sababu haswa ya kukopa kwake kwa watu baki. Mimi binafsi nimeshtushwa kuona unamchongea mkeo kwa members wa hapa JF 😞
Huyo sio mother kwako ni dada. Mother ni yule aliyekuzidi miaka kuanzia 14 huko usigome kuzeeka mkuu.Hahahahaaaaaa,umenikumbusha nilimkopesha mother mmjo japo ananizudi miaka 3 TSH 15000/= ilipofika mda wa kurudisha chenga nyingi mara ntakuletea leo geto usiku alipofika tu ilikuwa saa nne usiku match kali sana ilipigwa ikawa kila siku napiga mzigo hadi mimi nilimchoka japo alikasirika dana kumtema
Kama huna mke umejuaje wake za watu wanakopa sana?Sina mke hata dada yangu aliyeolewa hawezi kukopa zaidi ya kwangu , mara zote nampa tu ...Yye na mumewe ni wafanyabiashara ila zinabuma muda mwingine kabisa .
Ndoa zina siri nyingi huenda wakati mwingine ukisikia habari kamili unaweza kumuonea huruma mwambaMuda mwingine analipa , ishu ni kwamba akiumwa anakopa na unajua anaumwa , sasa mumewe anafanya kazi ipi ili kumsaidia mkewe ? Nina mushkeri nafasi ya mumewe .
Mtoto akiumwa anakopa pesa ili ampeleke hospital.