Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Wewe mbona serikali yako inatetea mashoga mkuu? Hatujawahi kusikia ukikemea ushoga hadharani. Tukueleweje kama wewe sio mtetezi wa mashoga au shoga mwenyewe?
 
Mkuu tunaomba kufahamu msimamo wako kwanza. Je, wewe unasapoti ushoga au unaupinga?
 
Sasa lotion mkuu ni kujipodoa huko? Mimi nikafikri utaongelea Wanja, lip stick, na makeup zingine? Sasa kujipaka mafuta utasemaje ni ushoga?
Kujipaka hivi vifaa mithili ya mwanamke utasemaje sio ushoga mkuu? Kwa mfano, Daimond anapovaa mawigi na vikuu na kupaka lipstick utasemaje sio shoga? Na pia utasemaje kuwa wafuasi wake sio mashoga?
 
Mkuu mbona unataka kutetea ushoga kwa hoja dhaifu?
Mkuu,
Wewe ni platinum member, na upo reputable sana hapa ndani.

Ila unashangaza sana na hii hoja yakoo

Mvii mwanaume kua mtanashati wewe unasema ni ushoga?!

Nb. Akili hii uliyo ionyesha kwenye hii thread Yako 😊 inazidiwa na wanywa VISUNGURA 😁

EMBU JARIBU KUFIKILIA AU JARIBU KUIULIZA HATA AKILI MNEMBA
 
Unampodolea nani wakati wanawake ni wengi kuliko wanaume?
 
Upo sahihi mkuu,Kuna mambo kama mwanaume sio ya kushadadia.
Nimeshuhudia mwalimu wa kiume eti kajichubua.
Dume Zima umejaza vikopo vya lotion,pafyumu kwenye dressing table!
Aibu sana mkuu. Kuna mianaume inajipodoa hadi aibu naona mimi. Wewe fikiria mwanaume ku curl nywele kama mwanamke. Hiyo sawa kweli? Hata kama ni msanii, huo ni uchoko tu.
 
Pamoja na hayo kwani ameshindwa kuingia darasani au ametoa materials substandard? Acheni Husda.
Mwalimu ni role model kwa wanafunzi wake na kwa jamii kwa ujumla. Mwalimu shoga hafai kuingia darasani asije akaawambukiza wanafunzi ushoga wake.
 
Mwanamume unatakiwa kuwa smart kimwonekano,lakini Kuna mambo engine hayo ni ya kike kutokana na sababu za kimaumbile.
Sasa unakuta dume Zima limejichubua,ananukia manukato utafikiri demu.
Kichwani Katia pico.
Hayo yote unatafuta nini?
Ukiliona jianaume la hivyo pita mbali mkuu. Hilo ni ***** tu!
 
Tupate kwanza definition ya kujipodoa
Mimi siwezi kuwa mchafu kisa eti napambania kuwa mwanaume.
Am very much smart mpaka serum natumia na kwenye bag nina hand oil mkono ukipauka najipaka. Bafuni shower gel kama kawa. Kwenye gari kuna shoe shine sponge siruhusu kiatu kiwe na vumbi.

Kama unaona ni shoga niletee mkeo au dada yako atakupa majibu
 
Kujipaka hivi vifaa mithili ya mwanamke utasemaje sio ushoga mkuu? Kwa mfano, Daimond anapovaa mawigi na vikuu na kupaka lipstick utasemaje sio shoga? Na pia utasemaje kuwa wafuasi wake sio mashoga?
Mkuu na wewe sasa umezidi, hata Sisi Wasukuma siyo washamba kiasi hicho. Yaani unalinganisha mtu wa kujipaka lipstick na kuvaa vikuku na mawigi unamfananisha na mtu anayejipaka lotion? Hiyo nimekataa, lotion siyo dalili za ushoga hizo mkuu!
 
Mkuu tunaomba kufahamu msimamo wako kwanza. Je, wewe unasapoti ushoga au unaupinga?
Kwenye kauli zangu hujaona msimamo wangu hadi apo? Ni laana kali sana iliyoangamiza sodoma na gomorah ni udhalili hatua ya mwisho mwanaume kuingiziwa ndo mana inanichefua hata hawa wanaotuma hizi picha na video naona kinyaa! kwamba ni wanaeneza kimtindo kiujanja sio? kwanza naona kuongelea tu ni kuwapa airtime.

Mana kila tendo huanza na fikra, kwann uipe nafasi fikra chaf namna hiyo kwny akili yako
 
Mwalimu ni role model kwa wanafunzi wake na kwa jamii kwa ujumla. Mwalimu shoga hafai kuingia darasani asije akaawambukiza wanafunzi ushoga wake.
Ushoga unaambukizwaje mkuu? Nani huyo mtu atakayethubutu kuweka hadharani (Mbele ya darasa/wanafunzi) privacy ya mtu(mwl.) ili wanafunzi washawishike halafu waweze kuiga? Kumbuka wanafunzi nao wana alikili.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…