Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,762
Video ipo wapi kabla hatujacomment. Pia ashukuru hajaenda huko.kisesa mwandoya,Lubiga, malwilo, mwandu itinje, mwabusalu na sakasaka haki ya nani sa100 angezomewa na kushangaaHabari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?
Wanabubujikwa kwa machozi ya furaha kwa kauli ya mbunge wao,yaani wanamkubali!Habari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?
Bibi toka Zanzibar hatakiwi kabisa huku Tanganyika.Kimeumana tayari kanda ya ziwa
Wananchi wana akili Sana sana Dear friendHabari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?
Ziara ishavurugikaKimeumana tayari kanda ya ziwa