CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Huyo mwanamke huku Kanda ya Ziwa hasa Usukumani hatumtaki kabisaHabari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?