Inamaanisha nini wananchi kumshangilia zaidi Mpina kuliko Rais Samia?

Habari wakuu,

Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.

Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?
48 laws of power
 
Mheshimiwa Rais amekosea. Hata kama Mpina alikosea kwa kutoa hayo maombi mbele ya rais, yeye Madame Presidente hakupaswa kujiingiza kwenye mipasho, na kuanza kumkandia mbunge wake hadharani. Angekuwa more diplomatic angejiepusha na aibu ya mipasho na marumbano. Uongozi nao ni kipaji, siyo cheo tu!
Hakutaka kufa na kijiba cha roho!
 
Mheshimiwa Rais amekosea. Hata kama Mpina alikosea kwa kutoa hayo maombi mbele ya rais, yeye Madame Presidente hakupaswa kujiingiza kwenye mipasho, na kuanza kumkandia mbunge wake hadharani. Angekuwa more diplomatic angejiepusha na aibu ya mipasho na marumbano. Uongozi nao ni kipaji, siyo cheo tu!
Angekuwa more diplomatic angejiepusha na aibu ya mipasho na marumbano. Uongozi nao ni kipaji, siyo cheo tu!🤔🙏🏿
 
Kwa hali hiyo, hata ikiwa muujiza Lissu akaruhusiwa kugombea ili hali yupo sero (yaani akasaidiwa kampeni), bado kijani kitapauka.

Hakukuwa na ulazima wa Bashe kuwemo ziarani, inanyesha bifu Bado bichi kabisa.
Yaani ndugu yangu ni hatari kweli kweli. Lakin Mungu awatie nguvu na awape namna sahihi ya kumaliza migogoro. Ila kwa picha ile mbele za umma haijapendeza kabsaa.
 
Huyo madamu kazingua sana halafu ukiachilia mbali uelewa wake wa mambo anafume sana na kupiga vijembe.Binafsi simuelewagi kabisa.
 
Habari wakuu,

Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.

Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?
Na hizo shangwe kwa mpina ndo zimemkera Amirati
 
Ngosha kanifurahisha sana...hahaha
 
Mpina ni Mzalendo si chawa hao wengine si watanganyika.
 
Back
Top Bottom