CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Huyo mwanamke huku Kanda ya Ziwa hasa Usukumani hatumtaki kabisaHabari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?
Kama Iran tu, wananchi wao wanawashangilia zaidi Israel.Habari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?
Wananchi wanataka ukweliHabari wakuu,

Hata kama ni kiziwi, kaupata ujumbeHuyo mwanamke huku Kanda ya Ziwa hasa Usukumani hatumtaki kabisa
Tuekee video mkuuYaani nmeiona hiyo video, kusema kweli nimewaza saana kweli. Ukiachilia mbaali wananchi kukaa kimyaa wakata mh. Raisi akiongea, lakin namna alivyo muataki Luhaga unaona kabsaa picha kamili.
Iran ya tabata hiyo.Kama Iran tu, wananchi wao wanawashangilia zaidi Israel.
Video ipo wapi kabla hatujacomment. Pia ashukuru hajaenda huko.kisesa mwandoya,Lubiga, malwilo, mwandu itinje, mwabusalu na sakasaka haki ya nani sa100 angezomewa na kushangaa
Like seriously?Kama Iran tu, wananchi wao wanawashangilia zaidi Israel.
Kajimaliza. Moja kati ya wanasiasa wabovu kuwahi kutokea nchini ni huyu sasa. Ana visasi hatariHabari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?
Somo la kusoma alama za nyakati ni muhimu Sana kwa viongoziHabari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?
Habari wakuu,

Wameeelwa kama mpini wa shoka muongoKimeumana tayari kanda ya ziwa
Aha ha ha presdaa kapaniki
Hatuna rais pale!Sijaona kosa la Mpina lililopelekea Mh. Raisi kumsema Mpina Namna Ile....