Inamaanisha nini wananchi kumshangilia zaidi Mpina kuliko Rais Samia?

48 laws of power
 
Hakutaka kufa na kijiba cha roho!
 
Angekuwa more diplomatic angejiepusha na aibu ya mipasho na marumbano. Uongozi nao ni kipaji, siyo cheo tu!πŸ€”πŸ™πŸΏ
 
Kwa hali hiyo, hata ikiwa muujiza Lissu akaruhusiwa kugombea ili hali yupo sero (yaani akasaidiwa kampeni), bado kijani kitapauka.

Hakukuwa na ulazima wa Bashe kuwemo ziarani, inanyesha bifu Bado bichi kabisa.
Yaani ndugu yangu ni hatari kweli kweli. Lakin Mungu awatie nguvu na awape namna sahihi ya kumaliza migogoro. Ila kwa picha ile mbele za umma haijapendeza kabsaa.
 
Huyo madamu kazingua sana halafu ukiachilia mbali uelewa wake wa mambo anafume sana na kupiga vijembe.Binafsi simuelewagi kabisa.
 
Na hizo shangwe kwa mpina ndo zimemkera Amirati
 
Ngosha kanifurahisha sana...hahaha
 
Mpina ni Mzalendo si chawa hao wengine si watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…