Inamaanisha nini wananchi kumshangilia zaidi Mpina kuliko Rais Samia?

Mkataba wa lot 6 wa SGR Tabora to Kigoma saa mbovu & others walikula Dili na kugawana fedha na magari si majungu ni live docs zinaongea hii Nchi ya asali na maziwa
 
Wanamaanisha kwamba
NRNE
 
Inaonyesha bi kidude alikuwa na gubu kitambo ila alikuwa Hana pa kusemea na Leo alivyoipata nafasi akaitumia vilivyo..
Na sio kwamba ameipata nope ni kwamba chai waliompa Ina pilipili nyingi kwahiyo imempalia dadeki ,MPINA FOR EVERYBODY.
 
Kaabika yeye Rais pale
 
Babu Wasira yupo anaomba poo na Chadema kuwepo uchaguzini

Mpina shikilia hapo hapo Mzee Cheyo UDP ipashwe moto chap chap Tuone Kizimkazi na Sukuma gang nani mwamba!!
 
Hata kwangu ni fumbo anayeweza kutufumbulia,msaada kwenye tuta.
 
 
Mpina anahitajika kuendelea kuwa mbunge wa Kisesa, sio wa Taifa kama Saa100 anavyodai.
Mpina saa100 kukuambia atakupa ubunge wa Taifa anakudanganya na kukutapeli
 
Walikuwa wanamzomea siyo kushangilia.
 
Message sent
 
Mafuvu yao yamerudishiwa akili
 
Mwana JamiiForums "Mwanakijiji" ambaye kwao Ni huko Simiyu mbona kimya Sana au keshauma pamba?
 
Mwanakijiji wa JamiiForums Kwao Ni Simiyu lakini hatoi comment zote Vipi au alishafungwa kama pipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…