Yusufu R H Sabura
JF-Expert Member
- Jun 26, 2020
- 796
- 918
Sheikh watu wa Pwani wameshazoea taarabu na vichambo. Yaani ukimzingua tu, muda huo huo anaenda kuwasha redio na kukufungilia nyimbo za taarabu usikilize vichambo vyake.Ukitoa kuchambana, mama ni mweupe hadi sio poa.
Wanawake wana tabia ya kujibu hoja kwa mihemuko na hisia.Fuatilia tu speech zake anapopelekewa hoja kinzani.Hawa watu hawana silika ya uongozi.Yaani nmeiona hiyo video, kusema kweli nimewaza saana kweli. Ukiachilia mbaali wananchi kukaa kimyaa wakata mh. Raisi akiongea, lakin namna alivyo muataki Luhaga unaona kabsaa picha kamili.
They are fed up with herHabari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga Mpina akishirikiana na Waziri wake kilimo Hussein Bashe lakini wananchi walikaa kimya wakati wanampelekea mashambulizi Mpina.Je kitendo hiki walichofanya wananchi wanamaanisha nini?
Hahahah... Mkuu,... Kwa hiyo alikosea kudai maendeleo??.... Pale itilima naona penyewe mbunge kadai Barabara na akaahidiwa kupewa🤣🤣Kosa ni kumdai miradi ya kimaendeleo kwa niaba ya Wananchi wake, alitakiwa amwage sifa ki-Lucas Mwashambwa na michozi ya furaha juu