Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

Point yangu kuwa uchafu na mambo ya kishetani yapo sekta nyingi ila si kila aliyepo kwenye hizo sekta anayafanya.

Kwa hiyo ukitaka kuyaepuka, usiwe na ambition au matamanio makubwa kwa sababu yana gharama yake haswa ukiwa huna ustahimilivu.
 
Sehemu pekee comfortable na haina mambo mengi sana ni halmashauri. Utafanya kazi, utakula na kuvaa.

Ila ukitaka maisha makubwa, kujulikana ama kuwa mtu flani exceptional bhasi uwe tayari kulipia gharama exceptional pia...

Ndio dunia ilivyo
😂😂😂
 
Hio ni kazi ya shetani lazima iwe na machafu mengi, chukulia mfano harmonize alivompakata nicole joe berry akiwa na chupi tu ya bikini
 
Ni kweli mkuu haitakiwi kuwepo na mtu wa kumshawishi mtu juu ya hayo. Kushawishi tuu bila kujali atakubaki au kukataa tayari hilo ni tatizo.
 
Sana mkuu, watu wanajua kila mtu ana tamaa ya fedha ila wakishaona upo desperate na tamaa imekuwaka. Hapo kukamatika ni rahisi sana

Mungu atupe uwezo wa kustahimili desperation na tamaa zetu

Ni kweli lakini ukiachilia mbali tamaa. Ni kosa la kijamii issue kama hizo kuwepo kwenye tasnia mbalimbali.
 
Usainii unaendana na umaarufu, changamoto ni masharti yanayoambatana na huo umaarufu ndiyo shida ilipo

Sio jambo la ajabu ukiambiwa uukane uanamme wako kwaajili ya umaarufu
Sahihi mfano kijana kama Lavalava au Dvoice walikuwa ni vijana wenye maadili ila baada ya kuingia uchafuni wanaambiwa watoge masikio, pua waambatane na mashoga kina lokole, noel , anko T n.k mara waingie kwenye mahusiano na makahaba ili wapate umaarufu...ukikataa unatupwa
 
Point yangu kuwa uchafu na mambo ya kishetani yapo sekta nyingi ila si kila aliyepo kwenye hizo sekta anayafanya.

Kwa hiyo ukitaka kuyaepuka, usiwe na ambition au matamanio makubwa kwa sababu yana gharama yake haswa ukiwa huna ustahimilivu.

Watu wanatama na matarajio makubwa.
Ndio maana unaambiwa usitamani mafanikio ya mwenzako hujui kayapata vipi.
 
Hio ni kazi ya shetani lazima iwe na machafu mengi, chukulia mfano harmonize alivompakata nicole joe berry akiwa na chupi tu ya bikini

Dah ni hatari hiyo. Ni uchocheaji wa ngono waziwazi. Shetani yupo kazini muda wote.
 

Ni mtego mbaya sana ambao ni wachache wanaoweza kuukwepa.
 
Huu ndio ukweli wenyewe.Watu wengi wanaingia huko kwa sababu hii.Unapewa fame kwa muda unazoea hayo maisha then unatambulishwa kwenye giza lenyewe sasa.

Wachache sana wanaweza kuruka huu mtego maana tayari kuna siri ambazo tayari wanakuwa nazo za kwako au wanajua fika huwezi tena kukubali kuanza upya.

Michezo ya hivi wameitumia watu kuingiza watoto wadogo kwenye ukahaba na wale wa pesa za ndagu.
Mtoto au binti anatolewa kwao kwamba anaenda kupatiwa kazi akifika mjini wanambadilishia pattern za maisha yake(kuvaa vizuri,viwanja kwa sana)akishazoea ndio anaambiwa sasa kazi ndio hii.Au wale wa pesa za ndagu mganga anakwambia utatoa tu kondoo wazee wakupe pesa ukishanogewa ndio sasa kasheshe unaambiwa toa mwanao au mke au jamaa yako.Hii huwa haina kurudi nyuma maana wanacheza na akili za mtu kabla ya kumpeleka gizani
 

Hapo unakuwa huna ujanja ni kubali au wakuue. Ni hatari sana.
 
Fame inawafanya hadi wakati mwingine wakubali kupakwa mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…