Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

Hii ishu ni pana sana aise kumbe hadi Eminem kaizungumzia kwenye huo wimbo.

Na ishu ya Beyonce kufungua hadi kanisa wana Mungu wao wanamtumikia..
Tasnia ya burudan, Hususani miziki na filamu, kuna ushetani fulani hivi mle ambao ukiwa nje unaweza sema hao jamaa ni watu walio na furaha sana ila deep down wana msongo wa mawazo sana
 
Tasnia ya burudan, Hususani miziki na filamu, kuna ushetani fulani hivi mle ambao ukiwa nje unaweza sema hao jamaa ni watu walio na furaha sana ila deep down wana msongo wa mawazo sana

Ni kweli kabisa na huwa wanajitahidi kutuonyesha kuwa wanafuraha kumbe ni fake.
 
Alafu wanajaribu kuonesha kuwa ni watu wenye furaha na mafanikio sana

Ndio maana V money, Vanessa Mdee alitoka hadharani akasema akiwa kwenye mziki alikuwa anapitia sonona kali na alishukuru Mungu kuuacha mziki.
Mbona mume wake ni msanii hadi leo anasemaje alifurahi kuuacha?
 
Propaganda hizo watu wanadai unaingia kwa devils ili update jina we unasema tena wanaaangalia wenye jina sasa kumbe unaweza PATA jina bila devilspower
 
Ingekua ni kweli basi wasingekuwepo wasanii masikini, nacho taka kusema ni kuwa, chanzo cha yote nikitaka maisha makubwa tusiyo kua na uwezo nayo, unakuta msanii anatamani maisha ya diamond bila kujua mondi kavipata vip? Hii ni hatari sana ni vema kurizika na maisha Yako kitu amabcho nikigum kwa msanii mana ili kujenga brand lazima uwe na maisha yakueleweka , hupand daladala, huli magengeni, unavaa nguo mpya na za wakati, unahela cash ili kuhonga media nk, niambie hizo hela unatoa wapi
 
Propaganda hizo watu wanadai unaingia kwa devils ili update jina we unasema tena wanaaangalia wenye jina sasa kumbe unaweza PATA jina bila devilspower
Watu famous wote wapo under devil supervision?

Kwahiyo fame ni mpaka uwe tayar na devilish contract?.

Na wapi nimesema wanataka ambao wanajina ?.

Unaelewa mana ya influence au potential mkuu ?.

Em quote hyo part nlio andika wanataka watu wenye jina tayari.
 

Ndio hicho tunachosema wengi wanachagua hayo maisha ya ufahari wanatoa mgongo wao 🤣😂.
 

Naona haelewi mifumo ya dunia inavyofanya kazi.
 
Acha propaganda wewe, huna mbele Wala nyuma ukaingizwe kwenye devils acha basi kudanganya? Vijana wapo wengi kitaa wanataka hiyo nafasi wanaishiwa kuliwa hela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…