Pre GE2025 Inaonekana Uamuzi wa Tundu Lissu kugombea tena unamuumiza kichwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo umeamua kubaki kwenye historia na kukwama kwenda na nyakati
 
Labda Kijiji kwenu ndio hafahamiki huku Kanda ya ziwa pote mjin na vijijin ni yeye tu anzia tinde,mwamapalala, sapiwi, lamadi, masanza mpaka unakokujua wewe kuwa ni Kanda ya ziwa Lissu ni fire.
Kuanzia Nyakato, nyakanazi na Lamadi huko ni Lissu mtupu a.k.a Simba
 
ukiacha simba na yanga,kanisa katoliki kwa wafuasi wengi ccm inafata,chama cheni icho ni cha mitandaoni na vijiweni tu
Chama chenu kinajulikana Kwa kuuwa watu kwenye Karakana za chang'ombe na hakuna kitu kingine
 
Watu hata hawataki kuzitumia bongo na akili zao.

2025 ni mwaka wa kufosi Yakhee!
Hahaha........Mwaka 2025 utakuwa Mwaka wenye full surprises

Watakaobahatika kufika watakuwa mashahidi.

Tuombe Mungu Inshallah
 
Ni kweli kabisa Lissu anaishi rent free kweñye kichwa cha samia.
 
Mhhhh!

Kwa maono yako,wewe unasemaje kwenye hili kwa mfano ungekua mshauri wa Lissu?tunaomba maoni yako tafadhali
Kutokana na nature ya Nchi yetu na mifumo iliyopo. Ni vigumu yeye kuwa ndiye

Kwahiyo nashauri apokee Ushauri wa ile timu ya Wazee iliyoenda kumshauri.

He is 56 yrs now, kwanini asichague kuzikwa na mizinga 21
 
Naona chawa wa Samia leo wamecharuka kweli humu kumpiga mawe Tundu Lissu, nawaona deblabant ,Lucas Mwashambwa,Tlaatlaah,Shotocan,Mkunazi Njiwa walivyokomaa leo kuandika mashudu kuhusu Lissu.
 
Huwa nashindwa kuelewa ni vipi ccm huwa wanaogopa hasa kwenye urais wakat wanajua watz wengi ni wajinga,hakuna tume huru,dola lote mpaka wazee wa mabaka mabaka wote wako upande wao bado wana backup kubwa ya walimu wasimamiz wa uchaguzi na wakurugenz kila wilaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…