Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

Tazama post ya kwanza aliyoniquote, soma maandishi aliyoyatumia...

Mbona Genta na Lusungo wameuliza swali hilo hilo na reaction yangu kwao haijawa na ukakasi? Umejiuliza hili swali?
Yes Genta na Lusungo haujawatupia lugha chafu, ila kwa huyu Ubemuoje umetupia mitusi ya nguoni ukimfananisha na Malaya wa Kimboka kwamba 'ana kiherehere kama Malaya wa Kimboka', acha kua hivyo jifunze kupotezea mambo mengine sio lazima utukane ndio uonekane umesema sio vizuri kwanza kurushiana maneno machafu haileti picha nzuri,
 
Sina uhakika na andiko lako ninavyofahamu, Bukoba airport haina control tower.
 



Aliaanza nami nikamaliza...fair game!

Tuachane na hii conversation, ipo nje ya mada ya huu uzi...tafadhali
 
Hii ndege ilikuwa kimeo tokea muda...
Mara engine imezimika, na sasa matairi yamegoma....

 
Ndege haikugoma kutoka magurudumu, imetua kawaida ila imepitiliza barabara ya kurukia. Sababu ziko nyingi tu zinazoweza kusababisha hayo kutokea na hii siyo mara ya kwanza na haitokuwa ya mwisho zinapitiliza kila siku ulimwenguni kote, kwa sababu tofauti.
 
Ni nadra sana ukizungumzia ulimwenguni, isipokuwa runaway moja tu ya Nepal inayoishia kwenye korongo....


 
Japo ni tetesi lakini zina ulakini,kwani kulingana na abiria aliyekuwa ndani ya ndege,sio kweli kuwa ndege ilizunguka sana bukoba,ilijaribu kutua mala moja ikashindikana,akazunguka akaja kujaribu ,ndipo ikatumbukia ziwani.Hivyo mafuta yalikuwa bado yako mengi kwani alikuwa na mafuta ya kumfikisha mwanza.Kingine sio kweli kuwa hiyo ndege rubani ndio ameamua kuishusha ziwani,bali ndege ndio imedondoka,ghafla haya ni kulingana na maelezo ya rubani mstaafu,na ndio maana madhara yamekuwa makubwa kiasi hiki.Kwani kwa eneo alilokuwa amefika mita 100,kabla ya kukanyaga runway angeweza kuishusha majini pembezoni mwa ziwa hapo,na kusingekuwa na madhara kiasi hiki.Eti ipeleke ziwani tu watakuja kuwaokoa hahaaa!!ndege imekuwa lori la kulilaza kwenye mtaro,ili kupunguza madhara..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…