Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

Hivi unajua kutua kawaida?kama imetua kawaida iweje itumbukie ziwani ??
Kutua kawaida ni kwamba magurudumu yameshika ardhi kama inavyotakiwa. Kinachofanya ndege kupitiliza ni
1. Kutua nje ya eneo la kutulia. Mfano katikati ya uwanja kupelekea hatua zilizobakia ni chache kuweza kutosha kusimama.
2. Kutua kwenye uwanja ambapo upepo unaelekea upande ule ule ndege inapoelekea. Hivyo kusababisha ndege kwenda mbio zaidi ya inavytakiwa wakati ikitua.
2. Kutua wakati uwanja umeloa maji wakati kuna mvua au mara baada ya mvua kuisha. Hupelekea breki za magurudumu kutokuwa imara(kuteleza juu ya sakafu/lami)
4. Kuharibika kwa mfumo wa breki wakati wa kutua ( hydraulics ) na kusabahisha breki kutofanya kazi.
 
Ilipitilizaje...Bukoba airport..ndege zinatokea upande wa ziwani na kuelekea nchi kavu...

Ila jinsi ndege ilivyoanguka ndege haikufika uwanjani...au ilimshinda rubani..

Mtoa mada ana usahii fulani...inagawa Bukoba airport haina control tower
 
Stori yako chai tupu...

Moja ya manusura kasimulia sababu waliyoambiwa na rubani, na pia jinsi walivyotoka salama...
Yule jamaa anasema hali ya hewa ndo chanzo. Lakin najiuliza hata kuwe na mvua kubwa au upepo mkali vipi, ndio Rubani ashindwe kuona Runway mpaka aangukie ziwani instead?
 
Ilipitilizaje...Bukoba airport..ndege zinatokea upande wa ziwani na kuelekea nchi kavu...

Ila jinsi ndege ilivyoanguka ndege haikufika uwanjani...au ilimshinda rubani..

Mtoa mada ana usahii fulani...inagawa Bukoba airport haina control tower
Wewe, ndege inatua upande wowote wa runway. Kwa Bukoba marubani wengi wanapenda kutokea ziwani kwa kuwa changamoto ni ndogo kulinganisha na upande wa pili.
 
Umewahi kuzama kwenye Maji? Unahisi maji yakikushinda unaweza kutoboa hata dk 5?
Ile ndege imejipiga na waliokuwa mbele wakafunikwa na maji, haya ufunikwe na maji huku umefunga mkanda utapona??

Kuna abiria wa Mbele aliyepona??
 
Hii inamake sense. Ukijumlisha na panic Huitaji 5min wala, utakufa tu. We sema tuna tatizo kubwa sana la vifaa vya uokoaji na nguvu kazi.
 
Yule jamaa anasema hali ya hewa ndo chanzo. Lakin najiuliza hata kuwe na mvua kubwa au upepo mkali vipi, ndio Rubani ashindwe kuona Runway mpaka aangukie ziwani instead?

Mimi sio mtaalamu wa hayo mambo ya anga mkuu, lakini kwa uzoefu wetu wa kutazama vipindi vinavyohusu ajali za ndege haswa nyakati za kutua, zipo ajali zilizotokea kwa rubani kushindwa kuona vizuri barabara ya kutua...

Mwisho wa siku ni vizuri raia tusubiri tu uchunguzi wa mamlaka husika, ndege ina blackbox, kuna waliopona pengine wakahojiwa wote, kuna watu waongoza ndege hapo Bukoba, kuna wahudumu waliosalimika watasimulia (maana wao hupata commands toka kwa rubani)...
 
Naomba kumjua huyo boss mwenye mwamvuli 🙄
 
Tunajua kuna mambo ya bima na fidia.post yako inalenga kukwepa lawama kwa kampuni na kulenga lawama kwa serikali kupitia waongoza ndege.
Tusubiri sanduku jeusi liseme kuliko hivi vipost vya kuonyesha lawama ni ya serikali kwa kutoa maelekezo tueni ziwani harafu wao hawajawaokoa.
 
polekwa wafiwa
 
Wewe akili huna ,, dharura/emergency unaelewa?

Umeshindwa kutua means umepitiliza uwanjani kwa hio aendelee nyooka mbele Kuna kiwanja Cha mama yako ? Au akate Kona arudi ficha utahira wako
It makes sense, maana hata kama hali ya hewa ilikuwa mbovu basi ajali ingetokea uelekeo inapotuaga ndege, ila ndege imepata ajali kwenye uelekeo tofauti kabisa na inavyotakiwa kutua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…