Mkuu mimi simo.😂😂Na wew
Anavyo ongea utasema ana busara sana 😂Mkuu mimi simo.😂😂
Hii JF dah sihami!
Hatari mwanaume kushindwa kutungisha mimbaUko serious kabisa!? Yani hatari how!? Mambo yake yanakuaje hatari..!!?
Acha kutudanganya hapa mkuu yaani kipindi kile cha harusi na zile nguo za kubana alizokua anavaa unataka kusema kuwa alikua mjamzito?,, labda kama ni ujauzito wa IVF (kupandikiza)Jamani mbona mkewe ana mimba na hata kipindi kile cha harusi alikua anaonekana kabisa kua ana mimba.
Umepiga vizuri sna mkuu!Amekuangusha, ulimpa mbegu?
Wanaume wagumba wapo na hili liko nje ya uwezo.
Sisi wenye mbegu na wenye uwezo kutungisha mimba sio kwa nguvu wala ujanja wetu bali tumshukuru Mungu
Kakuangusha wewe na kina nani? Mtu kama wewe ni kirusi kwenye maisha ya watu... huna ustaarabu kabisa na umejawa wivu, chuki na roho mbaya sana. JIREKEBISHEHii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito
Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye ili jambo duh sherehe zote zile af mtoto una enda kuadopt
sasa kosa lake litakuwa nini kama kazaliwa hivyo?Hatari mwanaume kushindwa kutungisha mimba
Mungu amsaidie aponesasa kosa lake litakuwa nini kama kazaliwa hivyo?
kabisaHii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito
Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye ili jambo duh sherehe zote zile af mtoto una enda kuadopt
naamMungu amsaidie apone
Hatari yake ni nini?Hatari mwanaume kushindwa kutungisha mimba
Kuna watu tuna macho ya kuona mimba hata ya mwezi. Kwani ujauzito wa kupandikiza mimba haiwi changaAcha kutudanganya hapa mkuu yaani kipindi kile cha harusi na zile nguo za kubana alizokua anavaa unataka kusema kuwa alikua mjamzito?,, labda kama ni ujauzito wa IVF (kupandikiza)
Thank you mkuuUmepiga vizuri sna mkuu!