Corona ipo toka mwaka jana na hatuchukui tahadhari hivyo ni akili ya kawaida tu kufikiri kuwa Tanzania kutakuwa na maambukizi kwa wingi na hivyo tungetegemea huo uhitaji wa mitungi ya oksijeni toka kitambo tu ila haikuwa hivyo hadi sasa ndio tunaambiwa kuwepo upungufu wa mitungi ya gesi na kuhusishwa na corona.Kuongezeka kwa cases huko kunaweza kuhusishwa na janga la Uganda, ni kuzingatia tu njia za kujikinga zinazoshauriwa......mafua ya msimu hayajawahi kuleta crisis hadi ya kusababisha wagonjwa wengi wapate usaidizi wa kupumua kwa mashine ya oxygen.
Mkuu mitungi ya oxygen mbona imeanza kuonekana kwenye mahospitali kitambo, kuna hospitali moja hapa Dar nilienda kutibiwa nimeshudia mitungi ya oxygen mingi tu inapitishwa pale reception, kwa hiyo unapoona mamitungi yamekuwa mengi sana, maana yake uhitaji wake nao umekuwa mkubwa. Ni nini sasa kilichopelekea huo uhitaji mkubwa, ndo hayo mafua ya msimu? au kuna cha zaidi....Corona ipo toka mwaka jana na hatuchukui tahadhari hivyo ni akili ya kawaida tu kufikiri kuwa Tanzania kutakuwa na maambukizi kwa wingi na hivyo tungetegemea huo uhitaji wa mitungi ya oksijeni toka kitambo tu ila haikuwa hivyo hadi sasa ndio tunaambiwa kuwepo upungufu wa mitungi ya gesi na kuhusishwa na corona.
Hii imekaaje?
Mmmh! Kumbe mpaka uone watu wakifa wengi? Alafu wakifa watarudi tena? Hilo sikubaliani na wewe, kinga ni Bora kuliko tiba na kifo maana uhai ni kitu muhimu sana.Niko Mwanza na ninazunguka maeneo mengi kwa wiki, Shughuli zinaendelea kama kawaida.
Kwetu ni Igogo na nisehemu yenye population kubwa, sijasikia habari za watu kuugua korona.
Ninao marafiki kibao Kirumba, Malimbe, Igoma n.k, Na nisehemu zenye mikusanyiko mikubwa lakini hakuna habari ya korona huko pia.
Mahari napoishi pia sijasikia habari za ugonjwa wala vifo vilivyosababishwa na korona.
Pengine walipaswa watoe ufafanuzi vizuri kwa sababu si kwamba oxygen nikwajili ya wagonjwa wa korona pekeake.
Kwa uhaba huo wa oxygen na ugonjwa huu unavyoenea kwa kasi tayari majibu yangekuwa yameshaonekana mitaani (vifo kama ilivyo uko uganda)
Tatizo sio uwepo wa hiyo mitungi bali tunazungumzia huu upungufu kwa tafsiri ya kwamba uhitaji wa hiyo mitungi umeongezeka kuliko hali iliyo ya kawaida ndio kukatokea huo upungufu. Sasa kama ulikuwa unaiona hiyo mitungi toka mwaka jana pamoja na hii mikusanyiko ila hakukutokea upungufu wa mitungi,ndio nauliza kwanini sasa?Mkuu mitungi ya oxygen mbona imeanza kuonekana kwenye mahospitali kitambo, kuna hospitali moja hapa Dar nilienda kutibiwa nimeshudia mitungi ya oxygen mingi tu inapitishwa pale reception, kwa hiyo unapoona mamitungi yamekuwa mengi sana, maana yake uhitaji wake nao umekuwa mkubwa. Ni nini sasa kilichopelekea huo uhitaji mkubwa, ndo hayo mafua ya msimu? au kuna cha zaidi....
Nasema hivi tusitiane hofu, Mimi nipo Mwanza, na hayo unayozungumzia wengine ndio tunayasikia leo, hivi kweli ina maana hicho kirusi cha DELTA, ndio kwanza kimeingia TZ, kupitia MWZ?hiyo wave itapita tu kama yaliyopita mengine, cha muhimu ni kuchukua tahadhari zile za siki zote, hakuna haja ya kutishana!!kwani unaongea kama vile unashabikia kitu!!hao waganda/wakenya licha ya kuchukua hatua zote hizo nini kinaendelea?Niliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda, hakuna aliyejali.
Sasa leo ITV wametangaza upungufu wa oxygen Bugando. Niliomba Serikali yetu tukufu ipige marufuku mikusanyiko yote mipirani, mikutanoni na hata kwenye mazishi, misiba, harusini, mikutano ya hadhara ya kisiasa na kidini n.k. Nikaandika hilo gonjwa la COVID-19 au Delta Variant linateketeza wenzetu Uganda, bado watu hawaamini.
Sasa hayawi hayawi yamekuwa. Nilishangaa sana na hata kupigiwa simu na marafiki zangu waliopo nje ya nchi wakishangaa sana kuona mechi ya Simba na Yanga kujaza watu wote wale elfu 55 sio maskhara. Narudia tena kutoa wito kwa wahusika kupiga marufuku mikusanyiko ya watu. Jamani jamani tunaishi dunia hiyo hiyo ya wenzetu tena waafrika wanaoathirika na kuteketea.
Tulete chanjo ya Pfizer kupitia mahospitali binafsi na ya serikali. Anayetaka achanje asiyetaka shauri lake ila tutashindwa hata kwenda sokoni na hizo jezi za Yanga na Simba zitageuka sanda.
EEH ALLAH TUNUSURU NA WANUSURU WAJA WAKO WOTE AFRIKA NA DUNIANI.SISI TUNAKIRI MBELE YAKO KUWA TUNAISHI KATIKA DUNIA HIYO HIYO WANAOISHI WENZETU ULIYOIUMBA WEWE MTUKUFU PEKEE. AMEEN.
Nafikiri kinachosisitizwa ni tahadhari za kujikinga, ni sawasawa ukaambiwa chumba kimepuliziwa sumu wewe ukaamua tu kuingia ili ushuhudie kama kweli kuna sumu......je, endapo utaingia na madhara yakakupata kuna mtu utakayemlaumu, au utajilaumu mwenyewe. Kwa hiyo inapotolewa tahadhari fulani hakunaga muda wa mjadala, ni kufuata tu maelekezo ya hiyo tahadhari iliyotolewa kama amri ya jeshi. Kama ni uvumi itathibitishwa huko mbeleni kwamba ulikuwa ni uvumi.....Mnawatengenezea watu hofu,
Mtawapa pesa wakae ndani??
Au kwakua nyie mnampango wa kutumia Kodi zao Ili kununulia chanjo basi hamjali.
Huyo jamaa inaonekana kama kuna ki mradi fulani anategemea kukifanya endapo masharti yakiongezwa labda watu kufungiwa ndani!!kwani sio kwa shangwe hiloEti " Hayawi hayawi sasa yamekuwa" bob nini cha kufurahia hapo kwa kauli yako hii?
Kwani nani alikuwa anatangaza hadi ujue kama kuna upungufu au hakunaKwamba toka corona iingie Tanzania mwaka jana ndio hivi sasa tunapata upungufu wa mitungi?
Rafiki malaika mkuu John amekataliwa hadi huko mbinguni๐๐คฃMalaika Mkuu John anailinda Tanzania huko aliko Behaviourist
Ndio maana nikauliza hilo swali ili nijue kwamba huo upungufu ni sasa tu au toka zamani ila ilikuwa haitangazwi? maana humu mitandaoni tulikuwa tunaambiana kuwa hali ya corona ni mbaya na madaktari wanaujua ukweli ila hatukusikia kuhusu upungufu wa mitungi ya oksijeni kwa kipindi chote.Kwani nani alikuwa anatangaza hadi ujue kama kuna upungufu au hakuna
๐๐๐๐๐๐๐Rafiki malaika mkuu John amekataliwa huko mbinguni๐๐คฃ
View attachment 1844384
Toka kitambo maana ilikuwa marufuku kutoa taarifa na pia upuuziaji ulikuwa mkubwa kulingana na Serikali iliyokuwepoNdio maana nikauliza hilo ili nijue kwamba huo upungufu ni sasa tu au toka zamani ili ilikuwa haitangazwi? maana humu mitandaoni tulikuwa tunaambiana kuwa hali ya corona ni mbaya na madaktari wanaujua ukweli ila hatukusikia kuhusu upungufu wa mitungi ya oksijeni kwa kipindi chote.
Kipi ni ushahidi wa kwamba huo upungufu wa mitungi ulikuwepo toka zamani?Toka kitambo maana ilikuwa marufuku kutoa taarifa na pia upuuziaji ulikuwa mkubwa kulingana na Serikali iliyokuwepo
Unapenda ubishi? Kwani hujui kwamba serikali iliyopita haikujishughulisha na mambo ya Covid? Hata pesa walizopata walizipiga..Vifaa tiba alikuwa anakataa kwamba vinaleta barakoa.Kipi ni ushahidi wa kwamba huo upungufu wa mitungi ulikuwepo toka zamani?
Na alikufa kweli pimbi Mwendazake yule. Mungu hadhihakiwi"Kama kufa tutakufa tu " jpm