#COVID19 Inasemekana kirusi cha COVID-19 aina ya Delta kimeingia Mwanza

Aiseeee !!
 
Yaani Kuna majinga ya magufuli wanaichukulia simply sana Covid19, me ilimpata ndugu yetu, Ni hatari kabisa,
Huyo ndugu yako alikua ana mattz mengine sema mliamua kujitoa ufahamu na kusema Corona
 
Nchi inafunguka uchumi ulioyumbishwa na jiwe unaimarishwa na mama kwa kufungua biashara na majirani tulia mkuu.
 
Ila Tanzania masihara ni kubwa mno kuhusu Corona. Omba Tu Mungu isikupitie au kupitia wa karibu yako au ndugu ndiyo utajua machungu yake. Sitaki kukumbuka madhara ya hii Corona kwenye ukoo wetu na majirani kadhaa. Rest in Peace my people.
Afya mgogoro ndio wanapigwa na covid haya mambo ya kupeleka sheria za covid shuleni na kuacha kuzipeleka kwenye madaladala na vivuko ni upumbavu wa serikali

Offisi zote za serikali zina watu watu wenye 45+ but hakuna jitihada zozote wanafanya ukienda kupata huduma mfano TRA

Yaani mtoto mwenye kinga wa miaka 10 unamwambia mambo ya covid

Baada ya kuprotect watu wazima wenye mangonjwa nyemelezi

Acha tufe tu
 

ina maaana kama ya kwanza uliipata ukapona , then whats scary about delta? watu washarudi mpaka uwanjan aisee
 
Wame anza kuleta na virsion za majina ya movie ..
 
Duh! Miaka 40 ni wazee?[emoji1787]
Kuwa wazi, wanaondoka kwenda wapi.......doh! kumbe sisi tulio na miaka 40 tayari ni wazee, ngoja nikaji lockdown.
tulowalaza wengi wote umri unaanzia 40+

Kati yao 70% wana magonjwa mengine nloyataja...na ndo wanaongoza kuondoka..kuliko wale ambao walikua hawana hayo.


Idadi ya Wagonjwa inazidi kuongezek uku mashine zikibakia vilevile....( utaelewa hapa kitakachotokea.).


Pia Madawa tunayotumia ni Gharama sana, Kwa mtu masikin kutoboa ni Tizi.


CHANJO NDIO NJIA PEKEE YA KUSAIDIA "WANYONGE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…