Hii vipiAliyekwambia covid imetua mwanza leo nani? tangu wiki tatu zilizopita kuna cases za watu wanaopata mafua na kupoteza uwezo wa kuhisi harufu, labda kama wewe ndo umeona jambo geni. Karibu mwezi mzima wizara imeshatoa tahadhari za watu kujikinga na covid, au unataka waje wakufunge pingu za miguu. Aliyekwambia chanjo ya mabeberu ya Pfizer ndo itakulinda na kifo ni nani........yaani ulivyokurupuka kuleta hii taarifa ni kana kwamba kuna jambo geni...
Aiseee...Umenipa kazi yakupitia Nyuzi zako angalau nijue najibizana nanani
Kumbe najibizana na Pumbavu moja Tahira, Matope kichwani na una UKIMWI.
Nmekupuuza .
🤣🤣🤣lina UKIMWI ,sasa limepata HIV Encephalopathy.. Virusi vimeshalifikia kwenye ubongo, linataabika ndio maana linabwabwaja.
Ni wewe tu mkuu, yaan ukiwa serious sanaaMkuu utakuwa una smoke weed au labda ni mini tu nachukulia life too seriously ??
Hii dawa inafanya kazi gani?Mkuu, nina siku ya 6 leo napambana na huyu Delta Variant. Mbali na ile cocktail ya Amoxyclav,Azuma,Loratadine,Zinc,PCM nasikia kuna hii hapa[emoji116] pia inatumika. Je ina uhakika ama ndo nikimeza nitakuwa nabwia sumu?
View attachment 1844016
Nina miaka mingi sijawahi kwenda hosp mkuu!!Ni wewe tu mkuu, yaan ukiwa serious sanaa
Huwezi nielewa.
Bangi wala sigara wala pombe, HAVIJAWAH GUSA KIGANJA CHA MKONO WANGU.
yaan unachokiwazia, mimi nakijua 100% ila nmeandika kwa sababu NMEAMUA KUANDIKA IVO.
Usikute kila siku nakuhudumia na unanikubali sana .
Mkuu Extrovert pole sana....Yeah mkuu namshukuru sana!
😲😲Mkuu utakuwa una smoke weed au labda ni mini tu nachukulia life too seriously ??
Kuna clip moja niliona ya habari wana rwport uganda wamepeleka wagonjwa wa covid uwanjani..eti hali ni mbaya sana na ni watu wengi wakati huo huo video inaoneyesha watu kadhaa kama wanne tu hapo uwanja mzima na ambulance pamoja na watoa huduma ..nilishindwa kuelewa kwakweli.. dhumuni lao ni nini haswa??Nasikia Uganda Delta imeyakumba hadi majeneza, nayo yanakufa na kuzikwa
Mkuu basi Shukuru MunguNina miaka mingi sijawahi kwenda hosp mkuu!!
Ok mkuu just relax, watu tupo tofauti sana!!Afu eti anajiita daktari. Hiiiiiiiiiiiiii......
Huyo muhuni nikibaini anapofanyia kazi nitamfurahisha.
Mwanzoni nilijaribu kumsoma kwa kurudia rudia nikahisi labda sijamuelewa vizuri.
He is a brainless kid.... Hao huwa kuna namna tunawafinya na kuwatuliza.
Akafanye uhuni kwa mama na baba yake huko— sio kwenye afya za watu!
Amen... !!Mkuu basi Shukuru Mungu
Endelea kumwomba Mungu, waheshim wazazi wako, achana na mambo yanayoweza kuathiri afya yako.
Hosp utaisikia
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu eti anajiita daktari. Hiiiiiiiiiiiiii......
Huyo muhuni nikibaini anapofanyia kazi nitamfurahisha...
Wakati mwingine hii mipumbavu ya uviko inabidi uipelekepeleke hivyo hivyo kingwasu ngwasu ...Pumbavu wewe, Unajua ilinichukua kitu gan, kusoma miaka mitano nakutoboa .
Mkuu huu ugonjwa hata ukifuatilia nchi mbalimbali bado kuna mkanganyiko sio watu wote wanaamini serikali zao/who /main stream media.. na hii ni duniani koteUmegonga penyewe. Mtanzania hatajua madhara ya kitu mpanga aone kimemtokea yeye, mtu wa familia au jirani. Hii ni aina ya ubongo wa panya hii.
Ohooo siku zinayoyoma mkuuAfu eti anajiita daktari. Hiiiiiiiiiiiiii......
Huyo muhuni nikibaini anapofanyia kazi nitamfurahisha...
Tupigwe Chanjo, kazi iendelee.Kama taifa tunajiandaa kuchomwa chanjo dhidi ya CORONA ...
Mh.Waziri wa afya amesema...