Ukifuatilia sana ni Mpori mpori wa mikoa tetesi......Wewe ndugu umeamua tu kumshambulia huyo swahiba....
Unatuletea ARGUMENTUM AD HOMINEM tu....sasa huo udaktari ulimtunuku wewe?!!!
Hivi wewe unaweza kumdisqualify msomi ,daktari ,profesa kwa sababu tu umetofautiana naye kauli ,mtazamo na fikra ?!!!
Wewe utamfinya nani na kumtuliza?!!
Mizinguo hiyo.....
Unaleta pang'ang'a za kitoto Sana....una miaka 19 ?!!!
Rwanda wametangaza lockdown nyingine na wanafunzi wameanza kurudishwa nyumbani.Tupigwe Chanjo, kazi iendelee.
Naam.....Tupigwe Chanjo, kazi iendelee.
π€£π€£π€£Ukifuatilia sana ni Mpori mpori wa mikoa tetesi......
Anajisahau na kutupia kilugha hapa na pale...
Bado yuko kwenye mfadhaiko........kisaokolojia ,
Ni Tutusa fulani limepata simu janja...
Chanjo zote Duniani za magonjwa ,huchukua majaribio ya miaka kuanzia 5 mpaka 10 ndio ziingizwe kwa watumiaji.Rwanda wametangaza lockdown nyingine na wanafunzi wameanza kurudishwa nyumbani.
Kumbuka Rwanda ni ya kwanza kabisa kuchanja watu wake.
Mkuu bora wewe umetuonea huruma .Naam.....
Baadhi wanakataa chanjo ilihali ndugu zao wanasafiri na wengine kwenda kufanya ibada za Hija Makka na Bethlehem.....
Yaani MADAKTARI na manesi wetu wanaotupambania afya zetu WASICHOMWE CHANJO ili wamalizike ?!!
Mijitu inasahau kuwa hao MADAKTARI na manesi wanawatibu wagonjwa wa UVIKO na jioni wanarejea kwa familia zao ,na pia kujumuika nasi MABAA na VIJIWE VYA KAHAWA ...
Sasa wanataka waeneze UVIKO na kutufanya tupukutike sote wao na sisi raia?!!!
WANAOPINGA CHANJO ni wajinga KUPITILIZA.......
#KaziIendelee
Covid ni Propaganda
Mkuu huyo Kichwa chake ni kibovu tu....Achana nakoo
Wadudu wamekavamia ubongon
Hawa watu huwa hawana tofauti na wavuta bangi
Wana makasiriko haoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kwa pamoja tunaisubiri .Mkuu huyo Kichwa chake ni kibovu tu....
Bangi inavutwa vyema tu na watu kufanya yao....ingekuwa Jamaica ina vichwa vibovu kama huyo "Popoma" basi WHO ingetutangazia kama JANGA [emoji1787]
Ok huku kitaa na masela wangu sisi tunaisubiri kwa hamu kubwa hiyo chanjo......
#KaziIendelee
We acha tu....Mkuu bora wewe umetuonea huruma .
Embu fikiria Mtu unatumia masaa mengiii, ndani ya wodi la UVIKO, na nikila siku
Alafu mpuuzi mmoja anakuambia, Hatutaki chanjoo
Maninaaaa !! Watu wabinafsi kinyama.
Amiin daktari πMkuu kwa pamoja tunaisubiri .
Uwe na usiku mwema
πππChanjo zote Duniani za magonjwa ,huchukua majaribio ya miaka kuanzia 5 mpaka 10 ndio ziingizwe kwa watumiaji.
Tatizo nikwamba, UVIKO unasambaa kwa kasi , unaua chapchap , DUNIA ifanyaje ??
Ndio maana Dunia imekuja na chanjo zilizojaribiwa ndani ya mwaka tu
Mbona wachina wamefaulu ,kupitia chanjo yao?.
Desperate person....Ukimwi ndo nini?
Nimekueleza, hata hao waliokuajiri ni mapunguani kama wewe!.
Kwani hakuna sindano zinazochomwa makalioni ?!!!Jibu swali...
Umeandaa makalio?
Wacha kiingie mbona tushakizoea tuNiliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda, hakuna aliyejali.
Sasa leo ITV wametangaza upungufu wa oxygen Bugando. Niliomba Serikali yetu tukufu ipige marufuku mikusanyiko yote mipirani, mikutanoni na hata kwenye mazishi, misiba, harusini, mikutano ya hadhara ya kisiasa na kidini n.k. Nikaandika hilo gonjwa la COVID-19 au Delta Variant linateketeza wenzetu Uganda, bado watu hawaamini.
Sasa hayawi hayawi yamekuwa. Nilishangaa sana na hata kupigiwa simu na marafiki zangu waliopo nje ya nchi wakishangaa sana kuona mechi ya Simba na Yanga kujaza watu wote wale elfu 55 sio maskhara. Narudia tena kutoa wito kwa wahusika kupiga marufuku mikusanyiko ya watu. Jamani jamani tunaishi dunia hiyo hiyo ya wenzetu tena waafrika wanaoathirika na kuteketea.
Tulete chanjo ya Pfizer kupitia mahospitali binafsi na ya serikali. Anayetaka achanje asiyetaka shauri lake ila tutashindwa hata kwenda sokoni na hizo jezi za Yanga na Simba zitageuka sanda.
EEH ALLAH TUNUSURU NA WANUSURU WAJA WAKO WOTE AFRIKA NA DUNIANI.SISI TUNAKIRI MBELE YAKO KUWA TUNAISHI KATIKA DUNIA HIYO HIYO WANAOISHI WENZETU ULIYOIUMBA WEWE MTUKUFU PEKEE. AMEEN.
Dikteta alimuambukiza maalim seif,baada yakwenda chattleeAliyekufa kwa covid ni Maaalim seif na sio huyo Dikteta?
Mie imeshanigonga hio 3rd Wave now niko imara!