Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...

Habari hizi ni za kunyapia nyapia zinasema hata Lazaro nae yuko matatani.
ACT wazalendo ipo
 
NAPE NA KAMPENI YAKE YA VUA GAMBA... AKIWA NA KINANA.


HAWA WATU WAMEFANYA KAZ NGUMU..

WAKAMPGA MAJUNGU MZEE WA MVI, WAKAMBEBA JPM.
 
Atoke nje awapige vizuri,na wakiitisha uchaguzi mdogo lazima awapige,
 
Kabla hamjapoteza pesa na muda wenu, waulizeni wafuasi CUF ya Maalim. Nchi hii unaweza ukafungiwa kufanya siasa mpaka ukafutika kwenye ramani.
 
Tutampokea sie CHADEMA kama tulivyompokea Lowasa na mikono tutazungusha na LAMI tutadeki
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…