Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
JK kweli warned, dont make no sense
 
Mh! Kama hii ni kweli subiri vita dhidi ya huyu dhalimu itakavyoshamiri ndani ya CCM. Hao ambao ni Wabunge kama kweli wametimliwa chamani basi si Wabunge tena.

 
Kama ni kweli itakua ni moja ya maamuzi sahihi ambayo chama kimeyafanya.

Kama ni kweli basi atakuwa anatengenezea himaya ambayo hatakuwa na mpinzani nje na ndani.

Challenges zipo kwa ajili ya kupima ubora wetu. Ndio maana shule kuna mitihani, walimu wa nidhamu n.k

Sisi wabeba box kazini huwa tuna puch card. Ukichelewa dakika kumi basi unakatwa 30 au saa nzima kwenye malipo yako. Vitu kama hivi vinakufanya uwe punctual.

Sasa mkuu ujibuji wake hoja ndio huu basi, mengi makubwa na magumu yanakuja.
 
 
Nape ni kitu kingine....sio wa kumuamini kabisa....huyo na yule nya' nani sijui ni watu wa kitengo ,hiyo ni safari ya kumaliza wapinzani....
 
Kwani hawezi piga lile bao lake la mkono akabaki vcm?
 
Naona watu tunachelewa sana 'kuusoma mchezo' wa awamu ya 5. Nape hawezi kushinda hata akiwa na kura nyingi kuliko wapinzani wake. Anayehesabu kura na kutangaza mshindi anajulikana. Akivuliwa uanachama, asahau ubunge ktk awamu ya 5.
Una akili sana. Kati ya comments zote hii ndiyo comment ya mwenye akili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…