Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
SI ANAKWENDA MAHAKAMANI ANAENDELEA KUWA MBUNGE.. KAMA ZITTO TU.

MBUNGE WA JIMBO HUWEZ KUMVUA UANACHAMA SIMPLE HVYO, HATA RULE OF NATURAL JUSTICE HAIJAZINGATIWA

KAMA KWELI LAKINI.
 
tulipokuwa tunamshauri nape akae kimya ilikuwa ni kwasababu ya comment kama hii...mtu huyu ndo mmoja ya wale ambao walikuwa wanasema nape sasa ''amepata akili''. akishafukuzwa haya ndo yatakuwa maneno yao!
Nape tunampongeza lakini pia lazima tumkumbushe matendo yake akiwa anakula maziwa na asali hayakuwa mazuri.na hili ni funzo hata kwa nyie mliobaki kwenye lori la magufuli
 
Haiwezekani!
 
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...

Habari hizi ni za kunyapia nyapia zinasema hata Lazaro nae yuko matatani.
Kwa kosa gani?
 
Nape hapa karibuni anaonekana kama alikua anapush hili litokee

Au alishanusa kwamba litatokea. Hata Nyalandu anavyo-behave sasa (kujiweka karibu na wana Chadema) ni kama vile keshanusa nini kinakuja. Kama ni kweli watafukuzwa CCM, ushauri wangu kwa Chadema ni wasikimbilie kuwakaribisha. Wajipe muda wa kuwaelewa hawa jamaa as they can be divisive and moles.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…