KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Analipwa kwa alichopanda. Hecco km ni kweli....
Hata Nay wamitego ameimba..utalipwa ulichopanda, na iwe kweli. Maana hizo dhurma kwa watanzania hata sijui atatubia wap
Kama ni kweli ngoja niweke akiba ya maneno
Nape hapa karibuni anaonekana kama alikua anapush hili litokee
Kwa kosa lipi?
Acha watumuane hadi akili ziwakae sawa..
Unapoisema Bombadia kwa kusudi la "kuisimanga",jiandae kwa lolote.
Ile ndio "kampeni" ya baba mwenye nyumba!!
mheshimiwa "chikanu chikali" nimependa jina lako!Kama ni kweli basi CCM NI KAMA MNARA WA BABELI, freedom is coming soon in Tanzania
Asajili chama kipi wakati Chadema kipo au unaogopa?NAPE SAJILI CHAMA CHAKO USIJIUNGE CHAMA CHOCHOTE..!
Mbona una comment huku unatetemeka? Nini kimekusibu?
Sitaki kuandika maneno mengi ila nitaomba jambo moja tu lifanywe na mh. Nape pale utakapo fukuzwa chama cha Mapinduzi, nalo ni kuunda chama cha siasa.
Nakuhakikishia ukijipanga vizuri tupo vijana wengi tutakuwa na wewe bega kwa bega kujenga chama chetu kutoka vumbini mpk juu kwenye neema.
Narudia haya maneno nchi hamna chama chenye dhamira na mkakati kabambe wa kuiondoa ccm zaidi wamekaa kimkakati kujinufaisha wao kwa wao.
Tafuta vijana tena wasomi tumekwama kwenye mifumo kandamizi tunahitaji kuonesha hasira zetu juu ya hawa wakoloni weusi.
Siyo rahisi.Nape mtu muhimu sana kwenye Chama chetu
vipi unaogopa?RAMLI CHUNGANISHI KAMA HIZI NIKAJUA ZIPO KANDA YA ZIWA TU, KUMBE HADI MTANDAONI
Pale alipotoa kashfa kule Iringa kwa kweli wanamwonea tu.. Kijana amekifia chama.NIMEKUMBUKA NAPE ALIVYOMTETEA JECHA KUFUTA MATOKEO.
NIMEMKUMBUKA NAPE ALIVYOPAMBANA KUPELEKA MUSWADA WA HABARI NA KUPGA MARUFUKU BUNGE LIVE
NIMEMKUMBUKA NAPE ALIVYOSEMA KUWA HATA KWA BAO LA MKONO, CCM LAZMA ISHNDE.
NAPE NI CCM DAMU KULIKO 95% YA WANA CCM.. ANAIPENDA CCM KULIKO NCH.
WAKIMVUA WANAMWONEA..
Duuu!!!! Sasa hiii Kali saaaaaanaaaa.....!!!!Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...
Habari hizi ni za kunyapia nyapia zinasema hata Lazaro nae yuko matatani.
utovu wa nidhamu kivipi? wewe kinyago tuchonge wenyewe halafu tukiogope haiwezekani bana.Mwenendo wa Nape hasa anapo-tweet Twitter ni wa utovu wa nidhamu totally! Ni hekima tu tena iliyotukuka ndio inaweza kumwacha salama! Vinginevyo kama sio leo, maamuzi kama hayo hayako mbali naye!!!!!
Achana nae huyo aliwahi kusema SubiriJibu ana Avatar wakati hana. Nilidhani ana makengeza ya macho peke yake kumbe na akili pia ina makengeza!
nakutumia PMWeka namba yako hapa
πππ
Basi tufanye hiviKama ni kweli basi CCM NI KAMA MNARA WA BABELI, freedom is coming soon in Tanzania
..au kukifufua Cha Kijamii..Huyo anakwenda act
CCM mpya haiendekezi mambo ya " uswahili swahili"!This time wengi itakula kwao ....watapokuja kushtuka it's too late ....nafikiri Nape ametafuta hili kwa nguvu zake mwenyewe .....
BombadiaDhalimu hahitaji kosa Mkuu ili kumvua mtu uanachama. Tusubiri kama ni kweli ila kama ni kweli chuki dhidi ya dhalimu ndani ya chama itazidi kuongezeka.