Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

hata munuo kanisa lake la siloam kule mbezi, alikuwa anawanawisha ati anatawaza miguu waumini wote, ni kama ibada hizo za mwamposa za mafuta, yeye watu wanajipanga mstari anasema anawatawadha kama Yesu alivyotawadha wanafunzi, halafu yale maji yake mliyonawishwa anapigia deki. Munuo alikuwa mtu wa Bomang'ombe pale.
 
Tamaduni ya watu was Malawi .... Maji aliyoogeshwa Maiti mnakuja kuchanganyiwa kwenye chakula.
Baada ya Msiba kati ya wale mlioshiriki chakula anarudisha ID.
hii ndio maana nikasema utaona wale wanaojitolea saana basi hudhurika kumbe huwa wanakutana na ajali za namna hii bila ya wapendwa wao kugundua
 
Mwache Munuo apige pesa meku .
 
Du ... siiamini habari hii kwa sababu mbili.
Kwanza sijawahi kuisikia.
Pili, wakila uchafu toka kwa maiti, kama maiti ina kipindupindu au gonjwa lolote la kuambukiza, si watu watafutika kwa maelfu?
Hii si kweli.
wanafutikaje wakati kitu kimechemshwa/kimepikwa. ulienda shule kweli wewe? hivi kitu kikichemka wadudu hawafi?

penye ukweli semeni, though haya mambo mila nyingi zinaenda zikipotea hasa wale wanaookoka kwa kweli.
 
Kawaida kabisa hiyo imeanza muda mrefu...
 
aissee!! hii dunia ni sehem hatari sana na tunapoishi inabidi tujichunge saana haya mengine nilikuwa siyajui
 
huwe

zi ukajua sababu we ulikuwa mdogo na wafanyayo hayo ni wale wazee magwiji wanaozijua mila we mtoto huwezi shirikishwa ndio maana ikaitwa siri kubwa ya kunusuru ukoo
Lakini kwenye maelekezo yako inaonyesha ukila huchuki muda unakufa harafu wakati huohuo unasema wanafanya hivo ili kunusuru mbona hueleweki au Mimi ndo Sina D mbili?
 
Lakini kwenye maelekezo yako inaonyesha ukila huchuki muda unakufa harafu wakati huohuo unasema wanafanya hivo ili kunusuru mbona hueleweki au Mimi ndo Sina D mbili?
ina maana wote wameelewa umeshindwa wewe tu hapo bila shaka utakuwahuna kweli hizo D mbili
 
unachofanya ni ku-expose your ignorance, kwanza siku hizi vyakula vinapikwa na catering services ambao pengine siyo ata wa hilo kabila, ushamba ni mzigo sana
 
Kinyesi cha marehemu kinapatikanaje?
Wanaweza mpira wa maji mdomoni , kisha wanaweza kitu kizito tumboni, kitanda cha kamba kalazwa maiti, chini kinategwa chombo, inapigwa pressure hadi nnya inachuruzikia chomboni, inaenda kuchanganywa kwenye diko la msibani, kisha wanahifadhi kiasi kingine kwa ajili ya diko la 40
 
Duh...uongo huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…