Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
- Thread starter
- #81
hata munuo kanisa lake la siloam kule mbezi, alikuwa anawanawisha ati anatawaza miguu waumini wote, ni kama ibada hizo za mwamposa za mafuta, yeye watu wanajipanga mstari anasema anawatawadha kama Yesu alivyotawadha wanafunzi, halafu yale maji yake mliyonawishwa anapigia deki. Munuo alikuwa mtu wa Bomang'ombe pale.💯 ndugu acha tu mji mbaya huu sanaa
Kuna boss mmoja kila mwaka anakodisha friends 2 wanaja ndugu na majiran anaenda bukoba kufanya party kubwaaa kinachotokea vijana wanapewa kazi za kukusanya sevieti na wengine maji tu
Mwakajuzi nikaenda kiborilo nkakuta makubwaaaaaa acha mfanyabiashara mkubwa kakusanya kilimanjaro 2 kalaza ngombe 5 Michele kama kawaaaa
Kufika unanawa unashangaa maji yakijaaa yanaenda kupelekwa kwenye pipa kha hata sikuendelea kukaa nkahisi wakinikosa hapa wanapiga kwenye chskula kumbe na sevieti wanaziokota kututengeneza
Usionee ufanikiwi unafilisika sioo kila sherehe misiba ya kuhudhuria mingine .....ntarudibadae