GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
Imeanza kutisha sasaKwahiyo Nchi hii No freedom after Speech?!
Saa ya ukombozi imefika!Ila hii nchi ngumu sana badala ya kutatua shida walizonazo wamasai zilizowafanya waandamane wao wanakwenda kupambana wa watu wasiohusika
TUNA SAFARI NDEFU SANA KAMA TAIFA
Tz is not safe at allDuru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.
Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Kupanga ni kuchagua. CCM na serikali yake imekwisha kuchagua fungu lake.Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.
Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Alipoulizwa kuhusu freedom of speech katika nchi yake Amin alijibu "there is freedom of speech, but I cannot guarantee freedom after speech"No guarantee after speech🤣🤣🤣🤣. Iddi Amini Dadaa alisemaga hili
Yuko sahihi na wewe uko sahihi. Yeye amemaanisha kuwa Nchi hii hakuna uhuru baada ya mtu kutoa speech yake na wewe unataka amaanishe kuwa Nchi hii hakuna uhuru wa mtu kutoa speech.After au of?
After au of?
👆@kindeenaAlipoulizwa kuhusu freedom of speech katika nchi yake Amin alijibu "there is freedom of speech, but I cannot guarantee freedom after speech"
Hao wataenda kugeuzwa chakula ya fisi maana siku hizi ni kuteka,kutesa na kuua kisha kuwatupia fisi wapoteze ushahidiDuru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.
Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Naskia viongozi walisepa kabla hata ya tukio...pale hasubuhi WAMASAI walikuwa wanasema wameandamana wenyewe kwakuwa hawana Imani na viongozi waoKwahiyo Nchi hii No freedom after Speech?!
Even Africa is not safe for Africans.Tz is not safe at all
Idd amin alikuwa kiongoziNamkumbuka Amin Dada
Wewe ndiyo mwoga kaa pembeni acha watu wapambanie haki ya kumiliki ardhi ya mababu zao na kupewa haki ya huduma za kibinadamu ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi wao.Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.
Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.