Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

Hao askari wapumbavu sana hawajui kuwa wanazima moto kwa mafuta
Ni Askari wa Tanzania Tu ndio Wapumbavu kiasi hiki, wanafanya KAZI kama Robots, akiambiwa piga anapiga, reasoning ni Sifuri kama Awadh
 
Hao wanatakiwa kushugulishwa haswa, ni wahujumu uchumi
Una hakika au umeamua kuchagua upannde wa Kuminya haki kwa sababu ya kupata umaarufu au kuonekana na wewe ni mchangiaji mada? kumbuka kuwa jambo hilii ni halisi na linagusa maisha ya binadamu wenye damu na nyama kama wewe. Unapofurahia na kushinikiza mateso zaidi ya wengine, hakika nakuambia hutaiona mauti kabla ya kuona kama sio wewe au mtu au watu wa damu yako wakipitia madhila hayo hayo, hiyo ni kanuni ya maisha siku zote. Wakati wewe unasherehekea mateso yanayofanywa na watawala kwa maslahi yao binafsi Mungu aliye hai anakutazama wakati wote. Wananchi Ngorongoro wadai kupunguziwa huduma, Serikali yajibu
 
Hapo wanatengeneza tatizo ama kutatua.
Ndio Afrika hiyo, "When things are dangerous to say, it's better to remain silent rather to say.......coz at the end day, it will cost you a lot interms of person life and family in general even to lose you are soul.
Most of the African Government is dictatorship type Government, there is no Democracy.
 
Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.

Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Hata wasakwe vipi, lakini ujumbe muhimu tayari umekwisha vikishwa kwa ustadi mkubwa sana.

Hao wanaosaka wanachoweza sasa ni kujiongezea maumivu tu ya ujumbeulio fikishwa.
 
Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.

Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Wacha waminywe kende,pasiwe na mazowea ya kingesengese na serikali
 
Wacha waminywe kende,pasiwe na mazowea ya kingesengese na serikali
hapo ulipo wewe hizo kende zako inaonyesha zinaminywa tayari na ujumbe uliofikishwa. Na bado zitaminywa sana kuendelea mbele.
 
Ila hii nchi ngumu sana badala ya kutatua shida walizonazo wamasai zilizowafanya waandamane wao wanakwenda kupambana wa watu wasiohusika

TUNA SAFARI NDEFU SANA KAMA TAIFA
Bi Kizimkazi hataki kusikia shida na matatizo... Yote anayajua ... Nyie andamaneni kulisifu na kuliimba jina lake!
 
Una hakika au umeamua kuchagua upannde wa Kuminya haki kwa sababu ya kupata umaarufu au kuonekana na wewe ni mchangiaji mada? kumbuka kuwa jambo hilii ni halisi na linagusa maisha ya binadamu wenye damu na nyama kama wewe. Unapofurahia na kushinikiza mateso zaidi ya wengine, hakika nakuambia hutaiona mauti kabla ya kuona kama sio wewe au mtu au watu wa damu yako wakipitia madhila hayo hayo, hiyo ni kanuni ya maisha siku zote. Wakati wewe unasherehekea mateso yanayofanywa na watawala kwa maslahi yao binafsi Mungu aliye hai anakutazama wakati wote. Wananchi Ngorongoro wadai kupunguziwa huduma, Serikali yajibu
Hao wahamie msomera, wanakomaa hapo kwa sababu wamezoea kutongoza vizee vya kizungu
 
Are you mentally stable?

Ni kweli kabisa.

Ila AMANI siku zote huwa ni tunda la HAKI.
No Justice No Peace!
Wewe umekaa mjini unakula kiyoyozi, hao mazingira wanayoishi hawaruhusiwi hata kujenga nyumba ya kudumu, wala kuwa na umeme, watoke waende Msomera
 
Back
Top Bottom