Una hakika au umeamua kuchagua upannde wa Kuminya haki kwa sababu ya kupata umaarufu au kuonekana na wewe ni mchangiaji mada? kumbuka kuwa jambo hilii ni halisi na linagusa maisha ya binadamu wenye damu na nyama kama wewe. Unapofurahia na kushinikiza mateso zaidi ya wengine, hakika nakuambia hutaiona mauti kabla ya kuona kama sio wewe au mtu au watu wa damu yako wakipitia madhila hayo hayo, hiyo ni kanuni ya maisha siku zote. Wakati wewe unasherehekea mateso yanayofanywa na watawala kwa maslahi yao binafsi Mungu aliye hai anakutazama wakati wote.
Wananchi Ngorongoro wadai kupunguziwa huduma, Serikali yajibu