Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

Kampuni za Kitalii hasa zenye Kambi Ngorongoro pamoja Na wateja wao wamepata Usumbufu Mkubwa Sana Leo.
 
Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.

Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Kupanga ni kuchagua. CCM na serikali yake imekwisha kuchagua fungu lake.
 
Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.

Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Hao wataenda kugeuzwa chakula ya fisi maana siku hizi ni kuteka,kutesa na kuua kisha kuwatupia fisi wapoteze ushahidi
 
Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.

Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Wewe ndiyo mwoga kaa pembeni acha watu wapambanie haki ya kumiliki ardhi ya mababu zao na kupewa haki ya huduma za kibinadamu ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi wao.
Hakuna mwenye akili anae anzisha vita kabla ya kupiga gharama atakazo lipa.

Haki hailetwi kwenye kisahani, haki inapiganiwa!
 
Back
Top Bottom