DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Kwahiyo wewe halikuhusu?Nope, as long as unapumua kwenye hii dunia challenge lazima zitakuwepo tu.
Lakini lazima uelewe kwamba kuna personal challenge, family challenge, work challenge na nyingine nyingi. But kwa hili la wamasai wewe ukijiweka mstari wa mbele na huku wewe sio mwathirika unafikiri nini unatafuta kwa hii serikali corrupt.
Nimeipenda hiyo ya no freedom after speech, that is there might be freedom of speech but can not guaranteed freedom after speech, in simple language you are free to speak but not sure of you're freedom after speechKwahiyo Nchi hii No freedom after Speech?!
Linanihusu lakini ni indirect na sio direct.Kwahiyo wewe halikuhusu?
Sawa omba yasikukute utakuja kuomba msaada hapa na kutia huruma kwa WatanzaniaLinanihusu lakini ni indirect na sio direct.
Hivyo kwa upande wangu nawaachia kazi watu wenye kazi zao kama watu wa human rights, ku-deal na situation iyo Kwa sababu wanauzoefu wa kutosha wa kutatua migogoro iyo na sheria za kitaifa na kimataifa zinawalinda.
Thanks Sir,Sawa omba yasikukute utakuja kuomba msaada hapa na kutia huruma kwa Watanzania
Haya si mambo ya kujivunia.Watabanwa mpaka waseme, Ile ya Sugu ni Trailer tu, movie yenyewe inakuja.
Nimejivuna wap?Haya si mambo ya kujivunia.
wasaka tonge? au unamaniisha nini gentleman?