Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

Nope, as long as unapumua kwenye hii dunia challenge lazima zitakuwepo tu.

Lakini lazima uelewe kwamba kuna personal challenge, family challenge, work challenge na nyingine nyingi. But kwa hili la wamasai wewe ukijiweka mstari wa mbele na huku wewe sio mwathirika unafikiri nini unatafuta kwa hii serikali corrupt.
Kwahiyo wewe halikuhusu?
 
Kwahiyo Nchi hii No freedom after Speech?!
Nimeipenda hiyo ya no freedom after speech, that is there might be freedom of speech but can not guaranteed freedom after speech, in simple language you are free to speak but not sure of you're freedom after speech
 
Kwahiyo wewe halikuhusu?
Linanihusu lakini ni indirect na sio direct.

Hivyo kwa upande wangu nawaachia kazi watu wenye kazi zao kama watu wa human rights, ku-deal na situation iyo Kwa sababu wanauzoefu wa kutosha wa kutatua migogoro iyo na sheria za kitaifa na kimataifa zinawalinda.
 
Sawa omba yasikukute utakuja kuomba msaada hapa na kutia huruma kwa Watanzania
 
Back
Top Bottom