Inasemekana wanaume wenye sehemu kubwa za siri huwa wanapatwa na tatizo la uwezo mdogo wa akili

No research,no right to speak....anyway inawezekana haupo Sana mbali na Ukweli
Hiyo siyo kweli. tunaanza na dhana, tunatafiti dhana, na kupata majibu. Na majibu yapatikanayo siyo final. Ndiyo maana watatifiti tunaamini hata matokeo ya utafitio siyo "finality" bado kuna nafasi ya kuboreresha, kuongezea, na hat kukataa yaliyoaminika huko nyuma. Knowledge is actually temporary. Ndiyo maana ukisoma tafiti kitu cha mwisho mtafiti huwa anaeema "more research is needed". Na hii ni muhimu, kwa sababu kila utafiti unaweza kuleta majibu tofauti kwa kufuatana na methodologies used. kwa mfano sample yako ikiwa ndogo na kutotumia probality sample selection, majibu yako yanaweza kutofautiana na mtu aliyetumia large sample na kutumia probability sample selection kupata partcipants.
 
 
Wewe upo kwenye kundi lipi mkuu
Tumia mabandiko yangu kunitafutia kundi. Ila mwenyewe naamini. kama ilinyosemwa utafiti haufanywi na "arbitrary decisions but by vigorous studies and data lead interpretations and decisions". Upo!
 
I'm somehow convinced with this comment
 
Nafikiri hapa tunachanganya mpaka mada asilia inapotea. Naona sasa tunaingia kwenye kutafuta na mwishowe tutaenda kujituma na hata kufanya kazi kwa uadilifu. Mada ilikuwa akili, kama sikosei IQ. Tunapokuja kutafuta, hapo kuna swala la vipaum,bele. Kama mtu ni malaya na anatumia muda mwingi kufukuzia na kutafuta mbususu hawezi kupata muda wa kuko"conetrate" katika kutafuta au kufanya kazi kwa uadilifu. Kwa hili hata ukiwa na mkonga kama wa "tapir" au punda, au kawe kadogo kama ka kuku hufiki mbali kwenye maendeleo. Kwanza, kwenye biashara unatakiwa kujinyima, mbususu inakaribisha matumizi yasiyo afya. Hata kazi au kujituma mpenda mbususu anatumia muda mwingi kwenye hilo, na kidogo kwenye mambo ya tija!
 
Mawazo ya Timu kibamia!
 
Inasemekana
 
Tumia mabandiko yangu kunitafutia kundi. Ila mwenyewe naamini. kama ilinyosemwa utafiti haufanywi na "arbitrary decisions but by vigorous studies and data lead interpretations and decisions". Upo!
Halikuwa swali lako mkuu
 
Naona umejibu kisomi..Basi sawa
 
Mawazo ya Timu kibamia!
Utakuwa nadushu kubwa mno, hongera. Ila sasa, kama ni kweli, itakufaidi nini kuwa na dushu kubwa akati inakunyima uwezo wa kuwa na akili kichwani katika vipindi fulani? Usipoangalia ukubwa wa dushu unaweza kukuzawadia mvua 30 gerezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…