Inasemekana wanaume wenye sehemu kubwa za siri huwa wanapatwa na tatizo la uwezo mdogo wa akili

Hivi huyu ndio wewe mpiga MSHINDO??

πŸ™‰
 
pole kwa kuwa na uume mdogo kataa hiyo spirital denial ya organs zako
 
Basi tatizo lako sio ukubwa ni urefu, ambapo zipo cases za watu wa namna yako. Maximum urefu unatakiwa uwe nchi 9 ukiwa umesisimka, zaidi ya hapo una tatizo la maumbile kama vile tu ulemavu.

Inabidi uende hospitali wanakupa ring ambayo itazuia kuingiza yote ili kweli usije kuharibu lining ya kizazi ya partner wako
 
Swali:-, Unatambuaje kuwa "nanihii" hii ni kubwa,saizi ya kati na ndogo,??.

Jikite kwenye swali na ulete majibu ya ukubwa katika inches au mm nk. Lengo ni kujifunza na kuifanya mada yako iwe na mashiko.
Ni common knowledge kwamba average size ukiwa umesisimka ni nchi sita, na ukizidi nchi sita wewe uko kwenye kipimo cha juu, na zaidi ya nchi tisa una tatizo la kimaumbile, ukipungua nchi nne uko kwenye extreme ya chini. Hiyo ni common knowledge kwa watu ambao wana uzoefu wa kusoma lakini giza kwa wavivu wa kusoma taarifa mbalimbali kila kitu lazima waambiwe
 
Maswali yameulizwa Dec, 3, 2022. unajibu leo Dec, 21. Halafu unajiona mjuaji sana!!--- lazima ujue unapoandika mada unatakiwa kwanza ujindae na auwe na elimu ya kutosha kuhusu hiyo mada vinginevyo unaweza kushikwa uongo.
 
Ila kweli wenye makungu pori wengi hawawezi kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja.

Kama ana chati ukimuongelesha hawezi kujibu, akili ndogo
 
Kwahyo unataka kusema wenye ndonga kubwa ubongo unakua umehamia kwenye dushe au sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maswali yameulizwa Dec, 3, 2022. unajibu leo Dec, 21. Halafu unajiona mjuaji sana!!--- lazima ujue unapoandika mada unatakiwa kwanza ujindae na auwe na elimu ya kutosha kuhusu hiyo mada vinginevyo unaweza kushikwa uongo.
Mimi iko busy bwana, sio kama wewe una muda wa kuwa JF 24/7 unategemea kutunzwa na shemeji sijui
 
Kwahyo unataka kusema wenye ndonga kubwa ubongo unakua umehamia kwenye dushe au sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hee, hivyo ndivyo ulivyoelewa? Umewahi kusikia kitu kinaitwa biology?
 
Inabid nipunguze sasa au?
Huwezi kupunguza au kuogeza. Inabidi uwe mwangalifu sana, na zaidi ni wapi unatumia kilevi. Yaani epuka mazingira yanayoweza kukusisimua kirahisi kama mbanano wa kwenye basi ukiwa karibu na msichana nk
 
Inamaana na mimi nitakuwa na hilo tatizo ama? Ila hiki changu sikibamia kabisa jamani hiki? [emoji16] [emoji16][emoji16] [emoji16]
 
Huwezi kupunguza au kuogeza. Inabidi uwe mwangalifu sana, na zaidi ni wapi unatumia kilevi. Yaani epuka mazingira yanayoweza kukusisimua kirahisi kama mbanano wa kwenye basi ukiwa karibu na msichana nk

Huo ndio siuwez kuepuka unakuta dada anakusogezea anafanya kama anafuta vumbi
 
Huo ndio siuwez kuepuka unakuta dada anakusogezea anafanya kama anafuta vumbi
Ningekuambia basi fikiria uwezekano wa kupigwa mvua 30 jela, lakini hadi wakati huo huwezi kukumbuka kuwa kuna mvua 30 kwa sababu damu yote itakuwa imehamia kwenye dushu na akili itakuwa inapumzika kusubiri damu irudi kichwani ndio angalau ikukumbushe kuwa umefanya jambo litakalokupa mvua 30 jela, na inakuwa too late, unaanza kujilaumu nimefanya nini!
 
Kama ana chati ukimuongelesha hawezi kujibu, akili ndogo
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Umenikumbusha mbali sana. Siku moja nilikuwa niko sehemu sehemu na kidosho ananichezea huku ninachat na mtu. Kuna swali niliulizwa kwenye chat, jibu nililotoa hadi mtu niliekuwa nachat nae akaniuliza, hivi unafanya nii saa hizi? Baadae nilipoangalia vitu nilivyomjibu, I say, nikasema huyu hakuwa mimi!

Unaweza kuombwa nyumba uliyojega ukasema ichukue tu haina shida!
 
Siku zote ukiwa na matatizo yako unajaribu kuwaaminisha na wasio na matatizo kuwa nao wako kwenye matatizo hamna fact hapo zaid yakujifariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…