Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

Point yangu ni kwamba mwenye makosa na anaepaswa kulaumiwa ni Rais na wala siyo wasaidizi wake wanaemwandalia hotuba.
Yes, Rais amekosea then what? Kuna kifungu chochote cha Katiba kilichovunjwa kwa Rais kukosea? Rais JPM alikosea na kusema Saddam Hussein Rais wa Kuwait, ilimfanya kukiuka Katiba? Let's deal with tangible issues, at least zile zenye makosa ya kikatiba au kisheria wajamen.
 
Anayetakiwa kuzipitia ni mpambe wake yule anayekaa nyuma yake na kushauri penye makosa...
Rais anapaswa apitie hutoba yake ili ajiridhishe kama ipo sawa.Huo ndiyo utaratibu dunia nzima.Nchi kama Marekani Rais huandika hotuba yake yeye mwenyewe akishirikiana na wasaidizi wake.

Kudai kuwa hapa Tanzania wanaokosea na wanaopaswa kulaumiwa ni wasaidizi wa Rais ni upunguani wa Kupaka mafuta tatizo kwa mgongo wa chupa.
 
Yes, Rais amekosea then what? Kuna kifungu chochote cha Katiba kilichovunjwa kwa Rais kukosea? Rais JPM alikosea na kusema Saddam Hussein Rais wa Kuwait, ilimfanya kukiuka Katiba? Let's deal with tangible issues, at least zile zenye makosa ya kikatiba au kisheria wajamen.
Usichukulie mambo kirahisi hivyo mkuu.
 
No!no!no Usihame mada.Mada yetu haikuwa kwamba Rais akikosea kuna kifungu cha katiba amevunja au hakipo kifungu cha katiba alichovunja bali mada yetu ilikuwa ni nani wa kulaumiwa katika hili kati ya Rais na wasaidizi wake.

Unaposhindwa kwenye mijadala usitafute pango la kujificha kwa kuleta mada mpya.
 
Anayetakiwa kuzipitia ni mpambe wake yule anayekaa nyuma yake na kushauri penye makosa...
Kwa hyo hapo tuna rais au tuna sanamu.binadamu kama binadamu unatakiwa ujitambue ujue wajibu wako ni nn na kilichompeleka pale ni nn.utawafanyiaje vitu watz kwa kuandikiwa kila kitu bila kupitia kusoma chochote.huo ni uwenda wazimu
 
Usichukulie mambo kirahisi hivyo mkuu.
Tell me the impacts and repercussions from constitution point of view! Hizi statements na allegations za makosa ya marais zimekuwepo maeneo mengi duniani ikiwemo Marekani lakini nothing tangible could be achieved, especially in the poor countries like ours. Absolutely, nothing.
 
Haiko hivyo mkuu naomba niishie hapo tu.
 
Hivi huyu Samia ana akili lakini? Mbona hata mimi ambaye sijawahi kufanya kazi serikalini wala siyo mchumi najua kuwa reserve yetu imekuwa around USD6 bilioni kwa kipindi kirefu sasa? Sasa yeye anasema bilioni maelfu ya USD!! Na Magufuli alikuwa anarudia rudia sana hii takwimu wakati Samia akiwa Makamu!! Na BOT wanatoa hii statistics regularly. Yaani yeye inaonekana hajawahi kuisikia kabisa?? Halafu Zitto anasema siyo issue eti!!
 
Ndugu zangu haya mambo yanashangaza sana.Katika kipande cha video hapo chini Rais Samia Suluhu Hasan akiwa Mwanza mwezi juni 2021 alidai kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za kimarekani bilioni 4765.

Ndugu zangu Mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya fedha za kigeni dola bilioni 4765. Mwezi Disemba ikapanda na tukaambiwa akiba yetu imefika Dola za kimarekani bilioni 6253. Mwezi Juni 2021 mbona taarifa ya ufafanuzi kuwa Serikali imekosea haikutoka?

Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa haya mambo yanapangwa kimkakati na kwa makusudi kwani siyo rahisi Rais akosee mara mbili.

Huenda nchi inaongozwa kwa propaganda.Ni vyema tukajua ukweli uko wapi kwani hii nchi ni yetu sote.

Kwa mtu mwenye akili zake ukiunganisha doti ya hizi hotuba mbili ni lazima upate harufu ya kitu ambacho siyo kizuri.

Kitendo cha Rais kukosea mara mbili kinaibua tena maswali kadha ambayo ndani yake yanatupa taarifa kuwa huenda nchi inaongozwa kwa propaganda.

1.Inawezekana Rais amekosea mara mbili?

2.Mbona mwezi juni 2021 hatukupata ufafanuzi kuwa Serikali imekosea?

3.Kama Rais anakosea kirahisi hivi,ni mangapi anakosea?
View attachment 2066406

Aione igunduge, zito na samurai.
 
No!no!no Usihame mada.Mada yetu haikuwa kwamba Rais akikosea kuna kifungu cha katiba amevunja au hakipo kifungu cha katiba alichovunja bali mada yetu ilikuwa ni nani wa kulaumiwa katika hili kati ya Rais na wasaidizi wake.
Either of the two could be a blaming part, but the question is then what next? We have been blaming these issues for more than a decade now; from JK to JPM and now SSH. Personally, I couldn't invest so much energy capitalizing on whatever the legitimacy for a thing that will just end up ignored. BTW, have you ever prepared any speech or talking notes for Mr. President?
 
Back
Top Bottom