Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

Magu amekufa mkuu, na ameshazikwa, na ameshaoza. Nothing less nothing more. Iwe utililie shaka au usitie, Samia ndiyo Rais wako hadi 2030 kama atapewa uhai.
 
Ikulu ni mzigo - JK NYERERE
 
Jamaa aliazima sufuria, baada ya wiki akarudisha sufuria kadogo sana, tofauti na aliyoazima, akamwambia sufuria yako bado ninayo hii hapa imezaliwa toka kwa sufuria yako, jamaa alifurahi sana, wiki ya pili alienda toa taarifa kuwa mama sufuria yule amekufa na tayari amesha zikwa. Hapa kuna siku utasikia hamna fedha ya kigeni wala kienyeji, tulieni tu!
 
Najaribu kukusoma mahala sikuelewi, unasema mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya dola 4765, then mwezi Dec 2021 tukaambiwa tena tuna akiba ya dola 6253, unapouliza mbona taarifa ya mwezi Juni 2021 hatukupewa unakuwa na maana gani?
Hivi mtoa Thread sijamuelewa, kwani tatizo hapo liko wapi? Ni namba ndio zinamchanganya au ni nini?

Najaribu kuichambua hotuba/taarifa ya mama kama ifuatavyo:
  • Mwezi wa sita 2021, taarifa ya mama inasema akiba ya pesa za kigeni ni dola bilioni 4765
  • Mwezi disemba (yaani baada ya miezi sita hivi) akiba ya pesa za kigeni ni dola bilioni 6253
Sasa kosa liko wapi kwa sababu akiba imeongezeka toka dola bilioni 4765 mpaka dola bilioni 6253 au ongezeko/tofauti ni dola bilioni 1488. Tupo pamoja jamani! Nisahihisheni nilipokosea.
 


Nadhani sasa utakuwa umemuelewa
 
Hizo namba unaona zipo sahihi? Hizo ni pesa nyingi sana hata Marekani hawana, na hapo ndipo mjadala ulianzia.
Ikulu imekuja kutoa ufafanuzi kuwa kulikua na makosa kwenye uwasilishaji wa hizo taaarifa na hivyo sio dola bilion Bali ni dola million.
Lakini hii si Mara ya kwanza raisi kukosea, alikosea pia kwenye hotuba yake ya June na ndio huyu mtoa post kakumbushia
 
USD 6253 Billion = 6,253,000,000,000 USD = 6,253,000,000,000 x 2306 Tsh = 1.4419418E16 = (1.4419418E16/1E12) = 14,419.418 Trillion Tanzania shillings

W’re one among the rich Countries on this hell of the planet
 
 
Point ipo
Raisi anashindwa vipi kutofautisha million na billion?
Ni kama yule Msaudhafrika aliyejiuzulu: Nkozasana Dlamini Zuma (Jacob Zuma). Namba kwake zilikuwa zinamfanya hadi azungushe kichwa kuzitamka.
 
Ikiwa mambo madogo Kama haya ya kusoma tu anakosea, vipi kuhusu mikataba?
Si ajabu ndiyo maana katika serikali hii wawekezaji wanatupenda sana kama Taifa. It's rightly said, ^Adui yako akikupigia makofi kukushangilia, jiulize wapi unaksoea.^
 
Waandishi ndiyo wakulaumu hapa. Ni makoosa makubwa sana kuandika $4765 million badala ya kuandika $4.765 B au kwa ufupi $4.8B waandishi wa Tanzania wana complicates sana !
Makosa ya Bi Mkubwa ni indelible, unsafishikable & unfutikable!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…