Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

Magu amekufa mkuu, na ameshazikwa, na ameshaoza. Nothing less nothing more. Iwe utililie shaka au usitie, Samia ndiyo Rais wako hadi 2030 kama atapewa uhai.
Wapi nimemtaja Magu? Au tu umemkumbuka kama alivyosema?
 
Halafu ndio anapigiwa ngonjera aongoze mpaka 2035,mpaka muda huo wenye mikopo yao watakuwa wameshachukua chao.
Kwa makadirio ya chini, nchi yetu itakuwa imekopa zaidi ya TZS trilioni 100.
 
Aione snitch ZZK
 
Huyu maza ni failure, hata secondary huko alifeli…!!
Vyuo alivyopita ni vya kuunga unga tu kimchongo.,,
 
Kwa ufupi nchi inaongozwa na mtu asiyekuwa na weredi Wala ujuzi wa kuongoza NGO,achilia mbali nchi kama hii.na hii inajionyesha kwenye teuzi zake,amejaza watu wasio na akili kabisa,hotuba ya Raisi inawezekana vipi ikawa na makosa!!Kuna jopo huwa linaandika hii hotuba!,washauri wake wa uchumi Tena maprofesa kwanini hawakuona haya madudu!!!
Hii ni dalili kuwa nchi sasa hv inajiendea tu,ipo kwenye auto pilot.
 
Hoja yako imeeleweka. Anachotaka kufanya ni kuonyesha kuwa Rais Samia anao upungufu fulani wa kiuongozi. Umekuja na hoja ya Saddam Hussein kuongoza Kuwait ambayo kila mtu aliidharau na kuangalia matokeo mapana zaidi ya kazi yake.
 
Hayati Magufuli alikuwa na makosa mengi tu na yote hamkuyapa kipaumbele kama awamu ya sita. Hizi nongwa zitakuumizeni nafsi zenu.
 
Waandishi ndiyo wakulaumu hapa. Ni makoosa makubwa sana kuandika $4765 million badala ya kuandika $4.765 B au kwa ufupi $4.8B waandishi wa Tanzania wana complicates sana !
Unalaumu vipi Waandishi wakati ni Rais alitamka kwa kinywa chake?
 
Huu Utopolo ni wa kiwango cha juu sana sana
 
Nchi inaongozwa na VIBWENGO VYA MZEE WA MSOGA
 
Wenye shida ni nyie ila samia hana shida kabisa anawachora tu mnavyohangaika mitandaoni mabwege nyie
Nikweli house girl mungu ampe nini tena ? Labda gunia la chawa kuwa raisi bila ya kupigiwa kula wala kuchaguliwa na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…