hii Avatar yako ndio tumeizoea. uki nyingine huwa tunapita tuNimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?...
Jamaa hata hueleweki kile unaongea..usiku mwema banaNdo kina Anna Claire Shija aliomba ruhusa aende Sengerema akapambane na Ngeleja. Sema ndo karepleciwa sasa. Imagine akishindwa kura za maoni.
Taratibu za Utumishi wa Umma zinasemaje? Na katika hali.ya Kawaida huwezi tumikia Mabwana wawili kwa wakati mmoja. Hapo lazima mmoja utakuwa mchepuko..Ndo kina Anna Claire Shija aliomba ruhusa aende Sengerema akapambane na Ngeleja. Sema ndo karepleciwa sasa. Imagine akishindwa kura za maoni.
Bado hajapita kwenye chekecheo la maoni. Akipita kwenye kura za maoni mwenyewe ataresign.Taratibu za Utumishi wa Umma zinasemaje? Na katika hali.ya Kawaida huwezi tumikia Mabwana wawili kwa wakati mmoja. Hapo lazima mmoja utakuwa mchepuko..
Yaani Annaclaire DED Same au mgombea Ubunge Sengerema. Wakati wa kutangaza washindi yeye anatangaza Same kwake afu yeye atangazwe Sengerema inakuja akilini kweli
Mshika mawili moja humponyoka.Wanaomba ruhusa ya siku kadhaa,badala ya kupewa ruhusa wanakuwa replaced. Ina maana wakishindwa kura za maoni ndo basi tena.
Bado anapaswa kuhudhuria vikao vya uteuzi wa kamati za Wilaya huko Sengerema..At the Same time anatakiwa kuwa DED Same. Anajigawaje. Actually yeye ndio kaomba kuachia ngazi.Bado hajapita kwenye chekecheo la maoni. Akipita kwenye kura za maoni mwenyewe ataresign.
Hajaomba kuachia ngazi bali aliomba ruhusa,ili endapo atashindwa kura za maoni anarudi kwenye kiti chake Same. Kwani alipokuwa likizo ya uzazi nani alimshikia ?Bado anapaswa kuhudhuria vikao vya uteuzi wa kamati za Wilaya huko Sengerema..At the Same time anatakiwa kuwa DED Same. Anajigawaje. Actually yeye ndio kaomba kuachia ngazi
Sidhani kama ni sahihi. Lugha gongano. Una namba za DED tumuulize swali ili tuonfoe huu utata?Hajaomba kuachia ngazi bali aliomba ruhusa,ili endapo atashindwa kura za maoni anarudi kwenye kiti chake Same. Kwani alipokuwa likizo ya uzazi nani alimshikia ?
Mtajuana huko huko! Tundu Lisu alipowaambia akimalizana na Wapinzani atawageukia nyinyi nyinyi, mkazidishia mipambio ya sifa huyo Jiwe. Sasa acha wote tugawane machungu haya.Kama double standards vile, kina Kabudi nao wataachishwa?
Mbuzi wa bwana heri walikula kwenye shamba la bwana heri hayatuhusuuuNimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?...
Habari ya jioni mwana Jf Kwanza napenda nimpongeze mheshimiwa Rais kwa utendaji mzuri lakini naomba nimpongeze zaidi kwenye hili maana yupo sahihi zaidi imekua desturi Sasa watendaji kwenye nafasi mbalimbali serikalini kuacha taaluma zao na kukimbilia siasa hasa nafasi ya ubunge lengo sio kwenda kuwatumikia wananchi lengo ni kuongeza kipato ndo maana tumekua na wabunge wa hovyo wasiojali shida za wananchi na MASLAHI mapana ya taifa letu kama mtu ni mkurugenzi nafasi iyo inatosha kutatua CHANGAMOTO za watanzania eneo husika kwaio ni vizuri akaonesha utumishi uliotukuka.Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?...
Hana UTU huyo "NTU FURANI".Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?
Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.
Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Why Mkurugenzi Mwele Malecela alirudi kwenye nafasi yake ?Hata mwalimu Pombe Magufuli alirudi kwenye ualimu wake baada ya kushindwa kura za maoni vipindi viwili mfululizo.
Mkuu usikengeuke...Yeye aligombea ubunge mara mbili na akashindwa,vipi aliacha kazi ya ualimu?Tangu 2005, tusilazimishe kumbebeaha Magufuli huu mzigo. Namkumbuka Ramadhani Maneno akiwa mkuu wa wilaya alienda kugombea Chalinze akalazimika kuachia ngazi, huo ni mfano mmoja tu ninaokumbuka kwa haraka, lakini utaratibu huu upo siku nyingi kwa wateule.
Ili neno nyakati limewekwa kwenye sheria ipi au kanuni ipi ya utumishi?Wife kwani una ndugu yako ana gombea? Mwambie achague moja! Akishindwa apambane na hali yake na asome halama za nyakati!
Akili kama hizi zimebaki chache kwenye jamii yetu ya kitanzania siku hizi.Mh.RAIS ni kama huwa ana kiburi cha kutaka kutukuzwa na kujitukuza anafanya mambo ili aonekane yeye kuliko taasis ya urais.
Issue iko hivi...
Si ndo apo...yaani mtu mmoja ni Mwenyekiti wa Chama,Rais,Mwenyekiti wa Kamati,MNEC,Amiri Jeshi Mkuu,Mkuu Dola...hizi kofia zote jamani.Mshika mawili moja humponyoka.
#You can't eat your cake and have it too.