Mwenye kuielewa hii code atujuze?Mwamba ambae inasemekana ni alikuaga kunguru wa Bar moja maarufu mjini Dusalamu akiwa anasoma Chuo kimoja chenye jina kubwa kilichopakana na jengo la wale wachukua alama za vidole pamoja na wale wanaosomea shule ya kuwatetea watu wasipigwe nyundo mahakamani pia ni mchicha mwiba kwa mujibu wa maelezo ya wadau ila sio kwamba hajawahi kuula mchicha bangi sema yeye ameamua kuwachukia walima bangi na wavuta bangi anapewa hype sana na Wazee wawili Mzee Kisauti na Mzee Katelephone
Hawa tu kwa uchache! Kumbe ukitaka kujua wavuta Bangi, angalia wanavyoteteana! Yaani hadi raha!
Tuko kibangi-bangi
Yaonekana ni wengi! KWeli vyuo hivi vitainuka?Ni nani ?
JPM lazima alikua anagusa mzigoObama alivuta sigara miaka ya nyuma. Nyerere alivuta sigara akaacha miaka ile ile ya sitini.
Marais wengi duniani walishavuta bangi inawezekana hata hayati JPM alikuwa mvutaji wakati wa uhai wake.
Uongozi wake unakwenda kiuweledi?. Hilo ndilo la muhimu kwa hao anaowaongoza.
Au na yeye ameandika kibangibangi.Umeandika kama vile umekasirika sanaaa, wakati ni kitu cha kawaida. Heshima heshima utajiju nayo.. cheo anacho.. Wewe je?
Na wewe unavuta bangi nini, kwa nini humtaji?Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.
Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
😂😂😂😂😂😂Umeandika kama vile umekasirika sanaaa, wakati ni kitu cha kawaida. Heshima heshima utajiju nayo.. cheo anacho.. Wewe je?
[emoji1787] Mkuu, nawewe unapuliza nini mbona umejenga hoja mujarabu kiasi hiki.Mtu anahukumiwa kwa matendo yake. Watu unaokutana saa tano asubuhi,wakati mwingine ,jana saa tano usiku walikuwa wamelewa chakari. Wewe hukuwaona. Kwa hiyo mtazame mtu aliye mbele yako mhukumu kwa matenda yake
Elon Musk ni tajiri namna 1 kama sio 2 wa kidunia na ni mvuta bangi balaa na ana projects/kampuni nyingi zinazomtegemea kuendeshwa.Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.
Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Kula vizuri, usivute ukiwa na nia ya kufanya fujo itakupa utulovu unaotaka bangi haina madhara tofauti na watu wasio tumia wanavyoifikiria!!!Nataka pindi la namna ya kupiga pafu, any volunteer?
Ni kweli anavuta bangi, sigara na anakunywa pombe kali hata muda kazi. Mara nyingi anakula pipi kali na kutafuna Big G kupoteza harufu. Lakini pia hukwepa sana kukutana na watu. Mara nyingi hupenda kufanyia kazi kwa kujifungia sehemu.Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.
Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
sisi tunaosoma post yako wengi tunavuta, wake zetu wanavuta ,viongozi wanavuta sasa hakuna jipya ,ungesema ni mvivu hapo tungejadiliYawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.