Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

TRA wanasema ni permanent employee wao nawe unadai yuko field, mtaendelea kujichanganya mpaka mrukwe na akili. Habari ya kwanza immediately baada ya raia wema kufanikiwa kuzuia utekaji alihusishwa na SUA, vipi hilo likayeyuka ikaja ya TRA na then ikaja ya CBE Idodomya yaani drama juu ya drama.
Mpaka mtanena kwa lugha this time around.
Nje ya mada: Huo muandiko wa darasa la pili ndiyo maana mnatumika kirahisi, so sad.
 
Na ile operation iliyokuwa kinyume na utaratibu majibu yake ni yapi?
-Kwanini hakupigiwa simu aende ofisini kwao?
-Kwanini hawakutumia police traffic office wakamatwe gari?
-Wamemkimbiza kama jambazi waliyemkurupusha kwenye scene ya ujambazi, iweje kama kilikuwa na jinai wasiende na polisi ambao wana mamlaka kisheria ya kukamata wahalifu?
-Vipi kuhusu sheria inayowapasa kwenda na polisi wenye sare rasmi wakati wa operation zao?
NB: Kongole nyingi kwa raia wema kufanikiwa kuokoa Mtanzania mwenzao asitekwe alipoomba msaada. Polisi wangewakana wahusika kama zoezi la utekaji lingefanikiwa na moja ya mifano ni Ali Kibao aliyechukuwa kwa mtindo huohuo waliokuja nao kwa driver wa X6.
 
Kwa hiyo atakuwa analipia elfu 60 kila siku kupanda treni kwa ajili ya kwenda darasani na kurudi?haimake sense hata hao mawaziri hawasomagi kwa mtindo huu
Tatizo ni gharama za usafiri ama tatizo ni kuwahi Masomo Darasani ? Mkuu usiyumbe tutapoteza focus ya mjadala. Asubuhi njema
 
Hao TRA walikusudia kutenda maovu ndio maana yakawatokea puani.
 
Una akili iliyotulia sana mkuu!
Huyo Marehemu ukimtazama tu usoni you can easily tell what ni nani.......watu wawe makini sana...hii dunia ni yetu sote....isitoshe wote ni wasafiri hapa duniani whether you like or not...unabaki unashangaa kiongozi anasema I hate death hahaha...ina maana hajui njia pekee ya kutokufa ni kutokuzaliwa na hapohapo kuzaliwa au kutokuzaliwa sio choice yako..unajikuta tu umetua duniani...
 
Punguza kuokoteza taarifa ambazo hata uelewa nazo hauna kutaka kuhalalisha kitu ambacho hakipo.
Tambua kwenye kusoma kazini kuna watumishi wa aina tatu wanaojiendeleza wakiwa kazini, kundi la kwanza huwa wanapewq ruhusa kamili ya kusoma hawa ndiyo wale hata ofisini haendi kabisa, kuna wale wanaosoma kwa ruhusa ya part-time, hapa mwanafunzi anapata ruhusa ya kusoma akiwa anaendelea na kazi kama kawaida ila anapata favor kutobughudhiwa muda wa vipindi na mitihani tu ila baada ya muda huo duty-roster inakusoma kama kawaida na unatakiwa kuingia kazini.
Bila kusahau kundi la tatu ambao ndiyo wengi (wazee wa kujiongeza) ambao husoma bila ridhaa ya mwajiri ila mtumishi hujiongeza yeye mwenyewe kubalance ratiba za vipindi na ratiba zake za kazi kuhakikisha anafikia malengo yake kitaaluma.
Sasa sijaona kitu cha ajabu kwq marehemu kuwa mwanafunzi wa CBE na bado akawa ameingia kazini kama kawaida.
Punguzeni ujuha mnajianika hadi tunaanza kuwaona ni watupu kichwani, maana ujinga ukichanganya na confidence unakuwa kituko kabisa.
 
Kwenye heading 'Kambayao' edit, ni Simbayao
 
Wakishughulikiwa mnalalamika, wasiposhughulikiwa mnalalamika. Wananchi kwa Sasa

Mitanganyika inashughulikia watumishi wasiojiweza wanaofanya wajibu wao. Wakija wazee wa kazi wenyewe hamna mtu anaonekana, big Tarimo anatekwa kila mtu anaangaliA.
 

You can tell ndo maana hawa walishambuliwa. Watekaji wenyewe wanaogopwa hakuna mbongo anaweza sogea, mitanganyika hovyo sana. Wakiona polisi wa kweli au TRA ndo wanajichetua wanajua kabisa hawa ni watumishi.

Atatekwa mtu next week na wasiojulikana hamna mtu atasogea.
 
Kabla ya kusikitika jiulize,TRA kwenye lile tukio alikua kama dereva wa gari ya serikali,gari ya serikali huendeshwa na dereva muajiriwa na ambae hupaswa kua kazini muda wote na kuitunza gari,sasa aliwezaje kua mwanafunzi wa CBE -Dodoma akiwa anasomea degree ya mahesabu na kodi kama permanent student?!!

Tukio limetokea siku ya kazi,na kipindi ambacho vyuo vimefunguliwa,imekuaje hayupo chuo akawa yupo Dar na ilihali pia sio muda wa Field?!!

Gari walilokua wanataka kumteka(maana ule utekaji usiku kwenye foleni) namba DHZ ni usajili wa zaidi ya miaka minne nyuma,kwa nini hawajawahi kumuita mmiliki na kumkamata ilihali taarifa zake za mmiliki wa gari huwa zipopaka namba za simu?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…