Unajiongezea maswali tu wewe mwenyewe; kwani hawezi kuwa yupo 'field training' huku akiwa mwana funzi?Maswali yanazidi kuchanganya umma
kwahiyo ni mwajiriwa kama dereva maana yake uanafunzi hauhusiki ....Jamaa alikuwa dereva . Yuko TRA muda mwingi tu.
I know him well
Je, kama hao "watu" ndio wanao sababisha mkanganyiko, nao unategemea watakwenda jela?Damu yake haitaenda bure itaenda na watu jela
Pengine aliamua kwenda masomoni akichukua hiyo shahada lkn muda huohuo akiwa siyo dereva na badala yake akiwa ni officer lkn muda huohuo akiwa ni mtu ASIYE JULIKIANA.Jamaa alikuwa dereva . Yuko TRA muda mwingi tu.
I know him well
Acha upuuzi wa kuingiza mambo ya vyama katika kila jambo na si kila mtu yuko affiliated na huo upuuzi wa vyama vya siasa.CHADEMA tulieni. Hii nchi ni ya kila mmoja. Acheni kuichafua TRA
Watu wanahoji mambo ya msingi kwa maslahi ya taifa wewe unaleta uchawa....Sijui watanzania akili tulipeleka wapi au kwakua ww unakula mema ya inchi bwana/bibi chawa?CHADEMA tulieni. Hii nchi ni ya kila mmoja. Acheni kuichafua TRA
Ndiyo imeshaenda hivyo na haitorudi kamwe, kifo ni kifo tu.Damu yake haitaenda bure itaenda na watu jela
Keshakufa huyo mtekaji kama umeumia sana mfufue, kifo ni kifo tu au haukuusikia huo ujumbe?Wahusika wapigwe nondo nzito. Una gari ya wizi unajua umeshikwa unasema unatekwa, mzaha mzaha unaishia jela. Mitanganyika nayo imeona fika hawa ni TRA ndo inachukua hatua ila wakiwa watu wasioeleweka inajikausha. SMH
Too late for that.Spinning!
Too late for that.
Hiyo ya field umeisema wewe, hizi twists and turns zimekuwa nyingi na panicking ya kuisafisha serikali imekuwa kubwa sana mpaka wanajichanya wenyewe. Obviously order ya kuisafisha serikali na vyombo vyake vya usalama imetoka juu kabisa at the top hence huu mkanganyiko tunaouona, kikawaida spinning hufanywa mara moja whether you believe it or not and you wait for the heat to cool down lakini hizi comedies zinazoendelea ni vichekesho mwanzo mwisho.Kwani hawezi kuwa Field?
Kama mwanachuo na yuko kazini alikiwa either field au alikuwa anafanya kazi huku anasoma labda masters
Ila nimeona hapo wameandika bachelor so what do i know
It won't work, ndiyo wanazidi kujichanganya. Miluzi imekuwa mingi from different angles mpaka watu hawajui washike lipi waache lipi, waamini maelezo yapi na waache yapi. Spins zimekuwa nyingi mpaka wamerudi where they exactly belong kwamba liwalo na liwe raia wameshatustukia bora tuzidi kuvuruga tu🤣. Inaonekana kiranja mkuu(headmistress) ka-panic na katoa maelekezo makali ndiyo maana kila ofisi inadai yule ni kijana wao ili waonekane wanatoa ushirikiano kumsafisha.Kwa vyovyotw vile hili tangazo la CBE ni calculated move!
💯 spot on.Inaonekana jamaa yuko Kitengo kikali sana maana si kwa utetezi ule wa vyombo
Yeah na bado yatasemwa mengi zaidi, they're just exposing themselves.Kuna uzi humu wamesema alikuwa dereva na alumni wa SUA/ Mzumbe,
Inazidi kuchanganya
WEWE NI MPUMBAVUCHADEMA tulieni. Hii nchi ni ya kila mmoja. Acheni kuichafua TRA