Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #101
Nimemsoma na zaidi amenisikitisha na kunifanya nimuonee huruma yeye na kizazi chake.Mkuu 'Lord', hivi umemwelewa vizuri 'Tanganian' na mawazo yake hapo juu?
Mawazo ya aina hiyo usidhani ni ya kipekee sana miongoni mwa jamii hii!
Na kwa bahati mbaya sana, hata ndani ya jamii inayozungumziwa na machizi wa aina hii, kuna watu wanao onyesha usahihi wa tabia hizo.
Maana anayolenga mwenzio ni kuwa kama wewe ni mtu wa "porini" hutakiwi kujuwa kitu kuhusu nchi(?); pengine kwa mawazo yake maana ya "nchi" ni kuwa mjini!
Unaweza kushangaa ukisikia huyu ni msomi hadi chuo kikuu, na pengine kashikilia cheo kukubwa serikalini!
Watu wa namna yake ni kielelezo tosha kuwa nchi yetu ndo imeshajifia rasmi.